Miujiza 40 ya mtume Muhammad (S.A.W)

Kwa nini tuamini hizi hadithi ni za kweli na sio chai tu? Tutathibitishaje hizi hadithi zilitokea kweli na sio za kutunga?
 
Sijui,thibitisha ni muujiza.
Hujaongea kielimu. Unajua kwamba Qur'an yenyewe ni muujiza.

Kanusha yale yaliyopo kwenye mada kwa elimu,sio unapayuka.
 
Hivi aliwahi kufufua kiumbe chochote achilia mbali binadamu?
Nani alikwambia kwamba kufufua binadamu ndio muujiza mkubwa au kwani lazima afufue binadamu ?

Jibu hakuwahi kufufua binadamu wala kiumbe chochote.
 
Nani alikwambia kwamba kufufua binadamu ndio muujiza mkubwa au kwani lazima afufue binadamu ?

Jibu hakuwahi kufufua binadamu wala kiumbe chochote.
Mbona unatoa maelezo mengi brother
 
Mbona unatoa maelezo mengi brother
Kwahiyo ulitaka nijibu kwa kifupi ? Au muulizaji aliweka sharti jibu liwe fupi bila maelezo ?

Swali la msingi,umeelewa nikichokiandika au umekisoma tu ?
 
Kwa nini tuamini hizi hadithi ni za kweli na sio chai tu? Tutathibitishaje hizi hadithi zilitokea kweli na sio za kutunga?

Wala wasikuhangaishe hao; wanaokoteza tu hadithi. Qur'an yao inasema Muhammad alikuwa muonyaji tu na kuwa asingeonyesha muujiza wowote.
 
Swali lilikuwa aliwahi kufanya muujiza wa kufufua!??
Wewe ukaanza kujishuku kwamba kwani muujiza wa kufufua ndio mkubwa kuliko mingine !??kitu ambacho muuliza swali hakukiongelea.
Kwahiyo ulitaka nijibu kwa kifupi ? Au muulizaji aliweka sharti jibu liwe fupi bila maelezo ?

Swali la msingi,umeelewa nikichokiandika au umekisoma tu ?
 
Swali lilikuwa aliwahi kufanya muujiza wa kufufua!??
Acha uongo hakuuliza hilo swali,swali lilikuwa ni jili :

Hivi aliwahi kufufua kiumbe chochote achilia mbali binadamu?

Kwahiyo unatakiwa uwe makini ukiwa unanukuu,usiwe unakurupuka.

Sasa kwa mtu makini,hili swali lina kejeli ndani ndani yake,ndio maana nikajibu vile swali linavyotaka,yaani lile sasa ndio jibu muafakaa.
 
Sasa hapo wapi ameongea habari za kufufua Ni muujiza mkubwa kuliko mingine Kama ulivyojibu wewe kwenye majibu yako hapo juu?
 
Wala wasikuhangaishe hao; wanaokoteza tu hadithi. Qur'an yao inasema Muhammad alikuwa muonyaji tu na kuwa asingeonyesha muujiza wowote.

Huwa nakwambia kila siku jambo kama hulijui bora ukae kimya.

Kwani Injili ya Yesu ilisema kwamba Yesu ni mfanya miujiza ? Kama haikusema mbona alifanya miujiza kwa idhni ya Mola mlezi ?

Sasa nakufundisha,suala la kufanya muujiza sio katika lengo,lakini miujiza huwa ni sehemu ya ujumbe na huwa kwa lengo la kuwathibitishia waja juu ya ukweli wa mtume au nabii husika na haya yaliyafanyika kwa sababu fulani,mathalani kwa mtume makafiri na washirikina mara nyingi walikuwa wanataka wafanyiwe miujiza ili wampime mtume kama ni kweli mtume au la ? Ndio mtume akawa anaomba msaada kwa Allah na kufanya muujiza kutokana na yale wanayo yataka makafiri na washirikina.
 
Sasa hapo wapi ameongea habari za kufufua Ni muujiza mkubwa kuliko mingine Kama ulivyojibu wewe kwenye majibu yako hapo juu?
Huwa nakwambia uwe unatuliza akili na usijichoreshe kwa kuuliza ujinga na maswali ya kitoto,huoni alichokikusudia huyo muulizaji ? Huoni alichokilinganisha ufufuo wa mwanadamu na dhidi ya kiumbe chochote ? Hujaona kubwa lipi na dogo lipi ?

Hujaona kama huyo muulizaji kwake yeye muujiza ni kufufua tu ? Ndio maana akalinganisha kufufuliwa kwa mwanadamu dhidi ya kufufuliwa kwa kiumbe chochote nje ya mwanadamu ?

Hujui kwanini kauliza swali kwa mtindo ? Hujui amerejea kwa nani ?

Hivi nikikwambia "Naenda kuoga". Kisha ukauliza hapo maji yako wapi ? Huoni kama utakuwa ni mjinga usie faa hata kupiiwa mfano ? Hivi kuna mtu anae oga mkojo au juice ?

Sasa unatakiwa uwe unatafakari ukiwa unasoma maelezo ya mtu,sio unakurupuka tu.
 
Zurii bwana[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo hasira zako kwa muuliza swali na kutofufua kwa Muhammad unanihamishia Mimi!??
 
Zurii bwana[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo hasira zako kwa muuliza swali na kutofufua kwa Muhammad unanihamishia Mimi!??
Muulizaji sikuwa na hasira nae wala sina hasira,nilichokijibu ndio nilichotakiwa kukijibu.

Wewe sababu umeuliza ujinga hali ya kuwa kila kitu kipo wazi,ndio nimekushangaa na nimekupa stahiki,ili uongeze umakini katika kusoma maneno.
 
Kuna muujiza mwingine tena zaidi ya kujipatia ka binti ka darasa la tatu ka miaka tisa huku yeye akiwa na miaka hamsini na sita.
56 - 9 = 47 faida.
Na shule ikawa basi tena.

Huu ndio muujiza mkubwa zaid kuwahi kufanywa na Mtume yeyote
hapa duniani.

Karibuni kumtetea.
 
Muulizaji sikuwa na hasira nae wala sina hasira,nilichokijibu ndio nilichotakiwa kukijibu.

Wewe sababu umeuliza ujinga hali ya kuwa kila kitu kipo wazi,ndio nimekushangaa na nimekupa stahiki,ili uongeze umakini katika kusoma maneno.
Ujinga gani nilio uliza!??
Kipo wazi kivipi...unadhani kila tu anamjua huyo Muhammad?
 
Ujinga gani nilio uliza!??
Kipo wazi kivipi...unadhani kila tu anamjua huyo Muhammad?
Hujui adabu za kuuliza juu ya yule usie mjua ?

Pili,rejea jibu langu huko nyuma limejibu mpaka swali lako hili.
 
Hujui adabu za kuuliza juu ya yule usie mjua ?

Pili,rejea jibu langu huko nyuma limejibu mpaka swali lako hili.
Huwezi kumjibu mtu bila kumkandia????
Mbona povu linakutoka wakati swala Ni la kutoa tu majibu yaliyonyooka!???
 
Huwezi kumjibu mtu bila kumkandia????
Mbona povu linakutoka wakati swala Ni la kutoa tu majibu yaliyonyooka!???
Nitoe majibu mara ngapi bibie ? Labda nijibu unavyotaka wewe.

Niambie unataka nikujibu vipi ? Ninekupa maelezo yaliyonyoka sana na mfano nikakupa ajabu unauliza swali ambalo jibu limeshatangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…