ao sisi ni kina nani ,13:38. Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake.
ao sisi ni kina nani ,13:38. Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake.
uongo, toka lini kutumua wingi ni kujitukuza, inamaana wapo wengi au , au ni yy mungu wenu na naniMwenyezi Mungu nae ni mmoja hana mshirika....Kutumika sisi ni katika kujitukuza kwake.
BADO SIJASHAWSHIKA NAMAELEZO YAKO, KWA NN MUNGU WENU ASISEME BADALA YA ''Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako '' ANGESEMA ivi- na hakika nimekwisha watuma mitume kabla yako APO NDO TUNGEJUA YUPO MWENYEWE kunyume cha apo sikuelewiNdio maana tunaandika TUNAUZA SIMU AINA ZOTE,TUNAUZA NGUO TOKA OMAN,TUNANYOA MITINDO YOTE..,JE UMEFAHAMU MATUMIZI YA WINGI.....HATA WEWE UKIFUNGUA BIASHARA YAKO AU HUDUMA NAAMINI HAUTAKAA USEME NAUZA CHUMVI,MCHELE NK.....ANY WAY https://en.m.wikipedia.org/wiki/WeKASOME MATUMIZI YA "WE/US"...Kisha uje ikiwa hujaelewa..Wala usiishi kwakucreamisha utajaonekana Kilaza nami sitaki kuamuni hivyo....
Haya iyoBADO SIJASHAWSHIKA NAMAELEZO YAKO, KWA NN MUNGU WENU ASISEME BADALA YA ''Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako '' ANGESEMA ivi- na hakika nimekwisha watuma mitume kabla yako APO NDO TUNGEJUA YUPO MWENYEWE kunyume cha apo sikuelewi
Kama hajaelewa asema tumtafsirie kwa kiswahili
Hakuna maelezo ya kutosheleza kumuhusisha Mungu na wingi, Mungu sio duka , sio jumuhia ,, sio serekali sio kitu au hali yoyote ya wingi, ndo maana its better Qur'an ibaki na lugha yake ili watu wasielewe kilichopo wapewe tafsiri kila siku mpya kuondoa mkanganyiko kama hiyo ya Mungu kujiita sisi Mungu badala aseme Mimi MunguKama hajaelewa asema tumtafsirie kwa kiswahili
kwaheriHakuna maelezo ya kutosheleza kumuhusisha Mungu na wingi, Mungu sio duka , sio jumuhia ,, sio serekali sio kitu au hali yoyote ya wingi, ndo maana its better Qur'an ibaki na lugha yake ili watu wasielewe kilichopo wapewe tafsiri kila siku mpya kuondoa mkanganyiko kama hiyo ya Mungu kujiita sisi Mungu badala aseme Mimi Mungu
Umewakamata vizuri sana Mkuu ubarikiwe hakuna cha kujitukuza wala nini hiyo lugha iliyotumika ipo sawasawa kabisa SISI siyo mmoja huyoHakuna maelezo ya kutosheleza kumuhusisha Mungu na wingi, Mungu sio duka , sio jumuhia ,, sio serekali sio kitu au hali yoyote ya wingi, ndo maana its better Qur'an ibaki na lugha yake ili watu wasielewe kilichopo wapewe tafsiri kila siku mpya kuondoa mkanganyiko kama hiyo ya Mungu kujiita sisi Mungu badala aseme Mimi Mungu
Mwisho niseme ikiwa mmeelewa basi Mungu ashukuriwe na ikiwa mmeelewa bado muwabishi basi Mimi sipo kubishana nanyi.Umewakamata vizuri sana Mkuu ubarikiwe hakuna cha kujitukuza wala nini hiyo lugha iliyotumika ipo sawasawa kabisa SISI siyo mmoja huyo
Hiyo ni suratul Qamar. Kimekaribia Kiama kwa kupasuka kwa mwezi. Unazifahamu hizi habari za kwenye hii sura?Quran tu yenyewe ni muujiza tosha...
Imekuja Aya ya kwanza katika Sura hii kuzindua kuwa watu wasikilize kwamba Kiyama kinakaribia, na watu wanahadharishwa na tukio hilo. Kisha zimekuja Aya nyengine baada yake kuweka wazi msimamo wa makafiri kwa mintarafu ya miujiza, na kushikilia kwao kukadhibisha. Na anatakiwa Mtume s.a.w. awapuuze na awangojee mpaka siku watakapo toka makaburini kama nzige walio tapanyika.Hiyo ni suratul Qamar. Kimekaribia Kiama kwa kupasuka kwa mwezi. Unazifahamu hizi habari za kwenye hii sura?View attachment 1146839View attachment 1146842
Imekuja Aya ya kwanza katika Sura hii kuzindua kuwa watu wasikilize kwamba Kiyama kinakaribia, na watu wanahadharishwa na tukio hilo. Kisha zimekuja Aya nyengine baada yake kuweka wazi msimamo wa makafiri kwa mintarafu ya miujiza, na kushikilia kwao kukadhibisha. Na anatakiwa Mtume s.a.w. awapuuze na awangojee mpaka siku watakapo toka makaburini kama nzige walio tapanyika.
Tena baada ya hapo Aya zikawa zinafuatana, zikieleza hali namna mbali mbali za mataifa yaliyo tangulia kwa mnasaba na Mitume wao, na adhabu iliyo washukia. Na baina ya kila kisa na kingine inazindua mawazo ya kwamba Qur'ani tukufu imefanywa nyepesi kwa mwenye kutaka kuwaidhika na kuzingatia.
Mwishoe inabainisha kwamba hao makafiri wa Makka si watu wenye nguvu zaidi au wakali zaidi kushinda mataifa yaliyo kwisha tangulia, na kwamba wao si wenye kuiepuka adhabu. Tena Sura ikakhitimisha kwa kuwahadharisha wanao kadhibisha wenye inda kuwa mwisho wao watakuja tumbukizwa Motoni kifudifudi, na wataambiwa: Onjeni mguso wa Jahannamu mliyo kuwa mkiikadhibisha. Na inawatuza wachamngu katika maskani zao za Mabustanini na mito, katika makao mazuri kwa Mfalme Mwenye uweza.
Hii baada ya lile tukio la muujiza wa kupasuka mwezi angalia muujiza namba 17 ndio na aya zikaja kulizungumzia tukio hilo...Zaidi soma hapa kiingerezaNiambie sababu ya kushuka aya ya 1 mpaka ya 3 ni nini?
Hii baada ya lile tukio la muujiza wa kupasuka mwezi angalia muujiza namba 17 ndio na aya zikaja kulizungumzia tukio hilo...Zaidi soma hapa kiingereza