Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

Haha..
Ongezea kovu kwa paji la uso.
Mwarabu swala 5 ni mweupe lakini hana alama yoyote usoni, ila Mmatumbi mweusi tiii ana bonge la kovu kwenye paji la uso anaita Sigida !!
Kuna Waislamu wa Buza wakiswali wanaogongesha vichwa chini,wengine wanaongeza mchanga(wanatoa kwenye kanzu kisha wanaweka sehemu anayosujudu),wengine akisujudu anasugua paji la uso chini. Haya yote ili mradi tu aonekane anaswali.

Haya mambo ya Hila ya kutafuta sijda kwa sifa hayafanywi na waislamu wote lakini.

Wengine huenda mbali zaidi na kusema ile sigda ni taa pindi mtu anapokuwa kaburini(akifa).
 
Mkuu,

Sijakuelewa hata kimoja ulichoandika,punguza jazba andika kwa utulivu na uniquote Kila hoja yangu katika namba zake ili nikuelewe. Kisha naweza kukujibu.
 
Mkuu,

Sijakuelewa hata kimoja ulichoandika,punguza jazba andika kwa utulivu na uniquote Kila hoja yangu katika namba zake ili nikuelewe. Kisha naweza kukujibu.
Hakuna jazba hapo siwezi kuwa na jazba na vitu ambayo sina control navyo mfano ujinga wa mtu mwingine au ubishi wake ni kujipa Psychology torture bila sababu za msingi , kama umetafsiri ni jazba basi upo wrong maana dalili kubwa ya mtu aliyepatwa ana jazba ni matusi na hapo hakuna matusi.

Ukichoandika ni dhana kwa sababu hauna ushahidi wa hata kimoja mfano ni sababu ya kuswali
msikitini.

Pili umechukua baadhi ya tamaduni na kufanya ndio Uislamu wakati Uislamu ni kitabu na Sunnah tena hizo tamaduni hazijaenea kwa Waislamu hata ukizunguka katika Waislamu 10 huwezi kukuta hata mmoja ,tufanye umekuta lakini haiwi kilicho miongoni mwa Waislamu ni Uislamu isipokuwa uendane na kitabu na Sunnah. Mfano katika hilo ni suala ulilodai kumwagia maji kaburini pamoja na Masofa.

Tatu umeonekana una husda na vitu vidogo mfano mavazi ya watu kitu ambacho ni kibata mtu akiwa nacho rohoni...

HITIMISHO : Kazi yangu nimemaliza ya kuweka bayana sitojihusisha malumbano ya kijinga isipokuwa kukiwa na ulazima wa kuweka bayana kwenye upotoshaji au mtu kaweka hoja yenye ushahidi madhubuti .

Ungekuwa Maghayo ningekupuuza mapema sababu ningejua ni akili ya bange au uchizi wake binafsi , ila kwako nilitaka niConclude kwanza kama tayari au la sasa imeshanibainikia ....
 
Una hoja, usikilizwe
 
Wabunifu walikuwepo tungu miaka hiyo ndio maana kuna maiti zilizili zikiwa zaidi ya miaka 2000 zinakutwa zimevishwa nguo na vidani vya fedhe na dhahabu huo ni ufahamu wako tu
 
Wagalatia wanajikuta wako smart na educated sana af kumbe hamna kitu, wanashindwa na vitu basic kabisa.

We mtu mzima anaamini kwenye ndevu za sheikh kuna majini 12, huo si ukichaa
Tatizo la wakirito wamekubali kushikwa na wachungaji wao kila wanalo ambiwa waliamini hata kama aliingi akilini mfano heti kila sheikh anayo majini hata kuhoji yakua wewe mchungaji ulijuaje kuwa sheikh au mfuga ndevu anayo majini je alioyaona yanafananaje
 
Hivi unajua Walawi ni kina nani? Au umekurupuka tu? Usikute unadhani ni Wamalawi🤣🤣
Hivi umeelewa mleta mada anazungumzia nini au wewe pia umekurupuka kujibu?
Zamani anadai kulikuwa hakuna teknolojia ya kunyoa.
Kwa akili yako, walawi wanaozungumziwa hapa wa karne hii?
Babu zako walikuwa weupe kichwani hadi kuweza namna ya kunyoa nywele?
 
Wagalatia wanajikuta wako smart na educated sana af kumbe hamna kitu, wanashindwa na vitu basic kabisa.

We mtu mzima anaamini kwenye ndevu za sheikh kuna majini 12, huo si ukichaa
hii haizidi uzito wa hoja aliyoleta jamaa.

yaani kuamini ndevu ni uislam hauko mbali kuamini punda ni usafiri wa waislam.
 
Wale monks china na wamisri, kunyoa vipara wameanza miaka ya karibuni baada ya kugundulika saluni?
 
Kuna ukweli mkubwa na mwingi sana katika andiko lako.
 
Kanzu ni vazi la maeneo ya joto jangwani ambako nchi nyingi za kiarabu zipo ni.vazi kinaruhusu upepo kuingia na joto kuwa dogs

Sasa mtu unakuta katinga kanzu eneo lina baridi ajabu mpaka unamhurumia kuwa huyu kweli kichwani hazimo
 

,giza gizani.
 
Haya Sasa kamwambie papa Francis na maaskofu wa kikatoliki na kilutheri wavue magauni yao wavae modo na makapero na waanze kunya viduku kama diamond platinums .
 
Plato


Socrates


Jesus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…