Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,215
- 30,405
Na magari mitumba pia izuiwe watu wanunue mapya tu, na spare za magari mitumba nazo zifungiwe watu wanunue mpya tu?????
Inaonekana hakuna ujualo. Magari mitumba tayari yanapigwa vita toka zamani naamini humiliki gari ndiyo maana hujui. FYI ushuru wa gari used ni mkubwa na kadri gari linavyozidi kuwa la zamani ndivyo ushuru wake wake unazidi kuwa mkubwa, hii ni kutaka watu wapunguze kununua vitu chakavu.
Same applies to nguo/viatu na bidhaa zote za mitumba. utaweza kuingiza ila jua ushuru wake utakuwa mkubwa sana na kwa nguo utakuwa mkubwa zaidi sababu serikali inataka kufufua viwanda vyake kama ilivyokuwa hapo awali.