MITSUBISHI Pajero JR

MITSUBISHI Pajero JR

mzm

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
34
Reaction score
11
Habari wakuu.
Jamani haka kagari nimekapenda. Engine yake ndogo 1090cc, kamenyanyuka juu halafu ni Manual. Nataka kukanunua kwa matumizi ya kuendea kazini. Nisaidieni ushauri kwa wanaojua gari hizi kama kanafaa.
Pajero JR.jpg
 
Yeah! Kanafaa sana, mimi nina pajero mini niliagiza toka Japan, manual, cc660, 4WD, iko juu sana kama hiyo jr na zinafanana na hiyo kila kitu isipokuwa cc. Inanisaidia sana kuendea kazini na kwenye mizunguko yangu. Kwenye mafuta ni very economical na kwa barabara za bongo inafika popote. Inunue wala usiogope maana pia kuna mwenzangu yeye alinunua kama hiyo jr, ana enjoy nayo.
 
achana nayo hiyo .... ni mshipa .... uliza waliowahi kununua .... kuna member humu kwa jina Ramthods anajua sana kuhusu magari ... get intouch with
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

kama unataka gari fuel economic, iliyo nyanyuka juu, four wheel na imara, fuata hiyo link hapo chini. Hiyo Pajero Jr sikushauri ununue. Ongea kwanza na mafundi kabla hujafanya maamuzi ya kununua gari.

Kama unanunua ulitumie kwa muda kisha uliuze, basi sawa. Ila kama utalitumia kwa muda mrefu likianza kukusumbua utatamani ulitupe.

Pia, kama unanunua gari ukiwa na matarajio ya kuliuza baadae usichukue Manual Transmission. Utapata shida sana kupata mteja. Watu wengi hawawezi kuendesha manual, na pia kwa foleni za dar mguu utauma kwa kukanyaga clutch pedal.

Karibu

Suzuki Escudo GF-TA02W(1998) / 4WD / US$3,790 / 45,000 km / Autorec Enterprise, Ltd - Japanese Used Car [ tradecarview ]
 
Kama unanunua gari toka nje, make sure haulipi zaid ya 5,000,000 ~ 6,000,000/= CIF

Hiyo gari hapo juu, gharama za ushuru, registration, port charges hadi hela ya clearing agent ukiwa na 5,400,000/= inatosha, na pengine ikabaki change kidogo.

So kama ukipata kwa 5,500,000 CIF, hadi ikufikie mkononi na insurance third party itakugharimu ~11,000,000/=
 
Mkuu,

kama unataka gari fuel economic, iliyo nyanyuka juu, four wheel na imara, fuata hiyo link hapo chini. Hiyo Pajero Jr sikushauri ununue. Ongea kwanza na mafundi kabla hujafanya maamuzi ya kununua gari.

Kama unanunua ulitumie kwa muda kisha uliuze, basi sawa. Ila kama utalitumia kwa muda mrefu likianza kukusumbua utatamani ulitupe.

Pia, kama unanunua gari ukiwa na matarajio ya kuliuza baadae usichukue Manual Transmission. Utapata shida sana kupata mteja. Watu wengi hawawezi kuendesha manual, na pia kwa foleni za dar mguu utauma kwa kukanyaga clutch pedal.

Karibu

Suzuki Escudo GF-TA02W(1998) / 4WD / US$3,790 / 45,000 km / Autorec Enterprise, Ltd - Japanese Used Car [ tradecarview ]

Hapa naona kama mdau unamtishia!! mimi nina pajero mini ambayo niliagiza toka Japani ina mwaka sasa, licha ya hivyo kuna kaka yangu pia ana pajero toka mwaka 2008, aliagiza toka Japani na haimsumbui kihivyo unavyotaka kutisha. Hizi gari ukiwa nayo cha msingi ni service tuu basi. labda tatizo la Mitsubishi kwa ujumla ni kwamba spare parts zake ni ghari sana tofauti na za Toyota, ila pia spare zake ni original/genuine, huwezi kuweka spare leo then ikafa kesho tofauti na Toyota.

Mkuu mzm mimi nakushauri ununue hiyo gari maana ni very economical, sio unakuwa na magari mengine kama kipato chako ni kidogo inabidi ui park kisa umeshindwa kununua mafuta, au unafanya safari zako kwa mawazo kweli! kwanza hiyo gari ninaamini ukiingiza hapa haitakugharimu zaidi ya mil8 mpaka unaiendesha mwenyewe na hata huyo agent utakuwa umemlipa.

Manual ndo gari ya kiume kwanza, pia watu wa kuazimaazima hawakusumbui sana, halafu ukumbuke kuwa magari ni bahati, unaweza kununua unayoshauriwa na labda huko mbeleni ikaja kukusumbua sana.

Ili gari yako yoyote ile idumu ni matunzo (kuitumia vizuri) na service, otherwise nunua unachokipenda ambacho unadhani kitakusaidia wakati wowote.
 
Last edited by a moderator:
Njia nzuri ni kutembea kwa mafundi garage na mafundi spare. Wao wanajua gari imara na gari laini. Na pia kuhusu bei za spare utapata huko huko.
 
hiyo nimetumia kwa kilometer 200 000 bila tatizo
Kweli unayosema spare parts ni ghali na pia mafundi wengi zinawapa shida hizo gari hakikisha unapata fundi anayeijua , pia nilikuwa nayo Subaru na ngumu sana nilikosea step kupeleka kule mabondeni kwa mafundi ndio waliua gear box sababu kubadilisha clutch
Sasa mafundi wengi gari za UK zinawapa shida wanasema gari no mbovu hawasemi wameshindwa tengeneza

Hapo nimekusoma mkuu, ila kwa mafundi kweli ni tatizo ila ukimpata anayeiwezea utaenjoy sana, ni gari ambazo zinadumu sana. Ila nilichokiona mimi kwenye magari ili yai service na matumizi tuu.
 
Yeah! Kanafaa sana, mimi nina pajero mini niliagiza toka Japan, manual, cc660, 4WD, iko juu sana kama hiyo jr na zinafanana na hiyo kila kitu isipokuwa cc. Inanisaidia sana kuendea kazini na kwenye mizunguko yangu. Kwenye mafuta ni very economical na kwa barabara za bongo inafika popote. Inunue wala usiogope maana pia kuna mwenzangu yeye alinunua kama hiyo jr, ana enjoy nayo.
mwana nipe engine type nikanunue namimi
 
mwana nipe engine type nikanunue namimi

MAKER: MITSUBISHI
MODEL: PAJERO MINI
ENGINE: MITSUBISHI MOTORS CORPORATION.
MODEL: E-H56A MNHF

Ni gari nzuri sana kwa matumizi yasiyotaka pressure ya kuwazia mafuta.
 
pamoja sana mkuu!!
 
Hapo nimekusoma mkuu, ila kwa mafundi kweli ni tatizo ila ukimpata anayeiwezea utaenjoy sana, ni gari ambazo zinadumu sana. Ila nilichokiona mimi kwenye magari ili yai service na matumizi tuu.
kiongozi wewe fundi wako yuko wapi?
 
kiongozi wewe fundi wako yuko wapi?

Mpaka sasa bado haijaanza kusumbua kwa kiasi hicho, nimewahi kubadilishia Fuel pump na battery tuu, kingine ni service ya oil ya kawaida ambayo nafanya kila zikikaribia km 3000 za kutembea. Ila pajero GDI ya bro mafundi wake wap jangwani sijajua ni garage ipi ambayo yeye kadumu nayo toka 2008 na iko poa. mimi kwenye gari huwa naamini ktk kulitunza na service tuu. kuna wengine wanadai Honda CRV ni mbovu sana, japo kuna watu wanadumu nazo miaka mingi tuu. Gari ni service na matumizi mazuri.
 
Yeah! Kanafaa sana, mimi nina pajero mini niliagiza toka Japan, manual, cc660, 4WD, iko juu sana kama hiyo jr na zinafanana na hiyo kila kitu isipokuwa cc. Inanisaidia sana kuendea kazini na kwenye mizunguko yangu. Kwenye mafuta ni very economical na kwa barabara za bongo inafika popote. Inunue wala usiogope maana pia kuna mwenzangu yeye alinunua kama hiyo jr, ana enjoy nayo.
mbona nasikia zinasumbua sana?
 
Mpaka sasa bado haijaanza kusumbua kwa kiasi hicho, nimewahi kubadilishia Fuel pump na battery tuu, kingine ni service ya oil ya kawaida ambayo nafanya kila zikikaribia km 3000 za kutembea. Ila pajero GDI ya bro mafundi wake wap jangwani sijajua ni garage ipi ambayo yeye kadumu nayo toka 2008 na iko poa. mimi kwenye gari huwa naamini ktk kulitunza na service tuu. kuna wengine wanadai Honda CRV ni mbovu sana, japo kuna watu wanadumu nazo miaka mingi tuu. Gari ni service na matumizi mazuri.

Tatizo kujua fundi mzuri
 
Back
Top Bottom