Prof Gamba
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 390
- 267
mbona nasikia zinasumbua sana?
Malafyale, huo usumbufu bado sijauona, na kuna watu wengi wana hizo gari, siamini kama hakuna gari zinazosumbua zikichoka, lasivyo tusingeona mikweche ya magari hata Toyota yakitundikwa. Gari yoyote ile nimatunzo na service, ukiwa rough hata kama ingekuwa ngumu vipi, itakusumbua tuu, halafu kitu kingine cha msingi ni service tuu nkamu.