Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Baada ya kutoka chumba cha mtihani,wanafunzi walikamatana na kudundana mingumi ya kutosha.Mwalimu alipowakuta na kuwauliza kwanini wanapigana,mmoja wao akajibu;"mwalimu,mimi mtihani wa hesabu sijajibu kitu,nimeandika jina tu,sasa huyu b.w.e.g.e nazi naye kaniiga,hajajaza kitu,ameandika jina tu,sasa si itaonekana mmoja wetu amekopi kwa mwenzie halafu tutafutiwa matokeo wote!