Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

2.WAKURYA

"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"

"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.
Atakuwa sio mkurya huyo, Neno MURAA hutumika kwa wanaume tu
 
wasukuma wanapenda sana wanawake weupe, huwezi kusikia msukuma ana mchepuko kama ana mke mweupe.
hahaha wasukuma buwana hatareeee nimeishi nao kwa miaka 20
Kuna mheshimiwa flan ni msukuma jaman ananisumbua huyoo mpaka basiiii anaombaaa mpaka kuja kwetu nimemwambia mm nimeolewa hatak kuamin mpaka anataman kwenda kwa mama kupata uthibitisho weupe unamzingua
 
Back
Top Bottom