Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

[emoji15] [emoji15] [emoji15] talaka!? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji3]
Hahahahahaha ukinipa talaka hahahahah ngoja niishie hapaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante sana....ss wakina Rwechungura huwa hatuna maneno mengi,

Unampeleka Demiss London kwenye date ya kwanza...ya pili unampeleka Paris unakuja kumalizia na Venice hapo unaenda kula na tunda kabisa.
Wewe ushawishi huooo ujueeeee tunawekana majaribuni

(Najua mme wangu hawez kuona hii comment ngoja niifiche na Tunguli)
 
Back
Top Bottom