Hahahahahaa angalia asimwage mihela kwa mama ili apindue NdoaKuna mheshimiwa flan ni msukuma jaman ananisumbua huyoo mpaka basiiii anaombaaa mpaka kuja kwetu nimemwambia mm nimeolewa hatak kuamin mpaka anataman kwenda kwa mama kupata uthibitisho weupe unamzingua
Namtafuta dada Hajar cjui umemuona maeneo hayaWapiiiiii
Nichukue ipi sasaHahahahhahah acha hizo basi
Kweli kabisa naendelea kufungasha viragoUsiniambie bhn oooh nitalia sana
huwa mimi sio mchoyo kabisaHahahahahha acha uchoyo
Mmmh nahisi atakuwa mzee wa Dona kantreTena mtu mmoja maarufu anataka kumalizia uzeee kwangu
nipo njianiHahahahahha acha uchoyo
Ulikuwa wapi chamdeko babe ake mshana jrHapana mm mwenyewe nimerud rasm leo sijui chochote
Anakula maraha huku hana habari na JFUnanichanganya tu mm alafu mwambie wifiii nampenda sanaaa
Kaa tayari muda wowote tunakiamshaTwendwee woteeee basiii