hahahaaa kuhusiana na nini DemissEwaaaaah unaonaje j
AitheeNdugu yangu Mshana JR hapo yupo wapi??
kaziniiUnaenda wapi
Unasema......!!!!!?????Hebu nichombeze pm mzeeee sjafungua codes
pazuri mnooNamaanisha unaionaje Jf
[emoji8] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umemkumbatia hapooo
2.WAKURYA
"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"
"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.
Nimekusoma barabaraEwaaaaa hapo ndo ninapokupendeaaa
hapanaUpo Us au