karibu [emoji3][emoji3]Wewe ushawishi huooo ujueeeee tunawekana majaribuni
(Najua mme wangu hawez kuona hii comment ngoja niifiche na Tunguli)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenitamanishaaaaa sana ujueee
Giza tororo hapaMswanoooo nikwendileee sanaaa
ooh kipindi nafundishwa namna ya kutumia huu mtandaooUlisema ulipata hadithi za Jf
Nitakuja huko hapafai kuja na kispacial hakipendezi kabisaaa itabid tuje na ile ya msaada wa serikali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu......(itikia taratibuuuu ili Mshana asisikie)
Sawa kwa njia yoyote ile utakayoona inafaaNitakuja huko hapafai kuja na kispacial hakipendezi kabisaaa itabid tuje na ile ya msaada wa serikali
nitakuteka tuuLoooh naona Mbinu yako ya siku nyingi unitekeeeee
DemissAhhahahaaha aiseee huwa naenjoy sana alafu wasukuma wakweli sanaaa
wasukuma wanapenda sana wanawake weupe, huwezi kusikia msukuma ana mchepuko kama ana mke mweupe.Ahhahahaaha aiseee huwa naenjoy sana alafu wasukuma wakweli sanaaa
Tehteehhh.....Mpaka nilipoenda kutingisha tunguli ndo watu wakaona kama kikuryaaaaa