Sasa kwa nini mwingine unatongoza miaka 10 anakuzingua? yaani nyiyni wadada mpo wengi sis wanaume wachache halafu mnaturingiaKweli kabisaa usipotongozwaa unajihisi mbayaaaa
Aaahh sawa hapo umelamba dume !!Alinitongoza kisukumaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wa kumtongoza simuoni au nimjeuke mchana jrAhhahahajahaj[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mwenyewe sijui sana....basi imekaa kibabe sana,ikitokea wewe ukatongozwa hivyo utakubali kweli?Mimi sijui nashangaaaa tu wanaitaaaa hivyo
Acha uboya..! Sisi wakurya mumura ni mwanaume tuu! Mwanamke tunamwita omukari/ mwesike.Leo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote.
Demiss navutiwa na mitongozo hii.
1.MSUKUMA
"Unajuaga Demiss moyo wangu umekudondokea nakupendagaa sana "
"Nakupenda getegete nikupeleke Geita nina mang'ombe mengi unywe maziwa na mananasi wewe mtoto nakupendaga mtoto mZuri moyo wangu unadundadunda "
"Mtoto mweupe kama malaika geteee mama geteee nakupendaga mpaka basi nikupelekege kwetu Geita ukale mananasi gete Demiss mama "
2.WAKURYA
"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"
"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.
3.WACHAGA ARACHUGA
"Unajua Demiss lile jiko langu la kitimoto pale Darajan Bar Manzese nataka nikupe uwe msimamizi unajua kama nakupenda sana nataka nikuoe tufanye biashara ya Duka Tegeta kwa sababu nakosa msimamizi ujue"
"Unajua chalii yangu Demiss mm nakuzimia toka long time kitambooo yaniii nakupendaaa kinyamaa mchizi wangu nakupendaaaa ile mbayaaaa chaliiii yanguuu"
"Nataka unipe mzigoo chali yanguuu.
Demiss Mama ntilie.
Infwakti uko sawa, leo nilikuwa Katoro pale Bukoba. Hata hivo niko napata dinner hapa jijini Paris. Akchwale kesho asubuhi nitakuwa Geneva kwa breakfast.Hahahahahahha Nyakahanga karagweeew
Hahahahahahahahha naomba uniletee senene itabidi nivizie City boys mpaka hukooInfwakti uko sawa, leo nilikuwa Katoro pale Bukoba. Hata hivo niko napata dinner hapa jijini Paris. Akchwale kesho asubuhi nitakuwa Geneva kwa breakfast.
Wabahiliii hahahah sijapata kuona mm nikiwa natongozwa naulizaa kwanza kabilaaaaUwiiiiii wanaume wa kichagga wengi hawajui kutongozaaaa though ndo wanaoongoza kwa uzuri,ilaa wanajuaaa kuspoil .....na hela hawatoi cash ni boraa akununuliee chochote ila sio kukupa elaa
Yes ukisema wasukuma na mrefer yule msukuma dactareee mkaleeeeeee mzee wa nyundo rafiki yake lekibamiaa kama unamjuaaa anahongaaaa balaaaaaa yaaan ushamba wake wote na ujanja wake wote lakin bado wanawake wanamzuzuaa, kuongeaa halijui linahonga kama halina akili nzuri yy na mdogo wakeWabahiliii hahahah sijapata kuona mm nikiwa natongozwa naulizaa kwanza kabilaaaa
Wasukuma ni fireeee