Mitindo ya kulala huelezea kipimo cha mapenzi baina ya wanandoa

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake
::
KUKUMBATIANA
Mtindo huu hutumika sana kwa miaka 5 ya mwanzo wa ndoa.Mume huweka miguu juu ya mkewe na mikono kumkumbatia eneo la kifuani.Aina hii hupendwa sana na wanawake kwani hujiona yuko salama
Ni alama ya mahusiano bora ya kimapenzi.
::
KUTAZAMANA
Hukumbatiana lakini baada ya saa 2 au 3 hujibagua na kila mmoja kulala upande wake.Ni alama ya kusaidia kuondoa mkinzano unaoweza kujitokeza.
::
MALIWAZO YA MUME
Hushikana mikono na mke kuweka kichwa chake kwenye mabega au juu ya kifua cha mumewe.
Ni alama ya tafsiri ya mapenzi ya dhati ya mume kwa mke.
::
BARAFU WA MOYO
Mke hupanda juu ya mume na wanaweza kujadiliana mambo mbalimbali.Ni alama nzuri nyakati za maelewano.
::
KILA MMOJA UPANDE WAKE
Ikiwa mmoja kaweka mguu mmoja au mkono kwa mwenzake,mtindo huu hujulikana kama daraja la mahusiano.Si alama ya kutiliwa mashaka
::
USINGIZI BARIDI
Pale wanandoa wanapolala kama wasiotambuana bila kugusana pasipo kujielewa ni alama kuwa wako mbali kifikra.Hutokea pale mvuto usipokuwepo
Hali hii isiruhusiwe ikue.
::
VISIWA TOFAUTI
Wanalala bila ushirikiano kwa visingizio vya kuchoka,ni kama visiwa viwili tofauti.
Chanzo chaweza kuwa matatizo ya kimwili,kiakili au kiuchumi.Hali hii ikitokea mara kwa mara huweza hata kuachanisha wapenzi
::
MGONGO KWA MGONGO
Mtindo huu hujitokeza sana kwa wapenzi.Ingawa wanaweza kupeana migongo lakini wanaweza kuwasiliana.Ni alama ya kawaida na wanasaikolojia wanauita mtindo huu "muda wa kupumzika"
::
MZIGO USIOHITAJIKA
Kila mmoja hulala kivyake na mara nyingi ni kama vile wanandoa wanataka kuonyeshana umwamba.Kila mmoja hamjali mwenzake,,hali hii si ya kawaida ni mbaya sana kwani hutengana kuanzia wanapopanda kitandani hadi kunapokucha.Si ajabu hata kununua vitanda viwili au kulala vyumba tofauti.Wanasaikolojia wanaita hali hii kiburi na jeuri.
=
 
Habari kama hii bila picha, ni sawa na mali bila daftari!!

Kuna watu wanalala kama Star Fish, ule ndio aina gani ya mlalo???
 
Nimeshindwa kutambua ilipo ndoa yangu kwa sasa, ila ndoa sinatofautiana sana na sidhani kama saikolojia inawork saaaaaaaaaaaaaaana huku
 
Na ukilala umemweka mtoto katikati yenu inareflect nini mkuu

Kliniki walishauri mtoto asilazwe katx2 kwani anapata joto kali kutoka pande zote 2 na joto hilo linaadhiri ukuwaji wa mtoto. Back to the topic hata mimi sijui ilipo ndoa yangu na pia siamini ya wanasaikolojia
 
It is true!!
 
Hiyo ni ngumu sana kujua umelaleje maana ukishalala huwezi kujitambua mpaka utakapostuka
 
Duh1nyinyi ndoa yenu ndiyo ipo hatarini sana kwa sababu kunamchanganyiko wa ajabu wa kisaikologia!!mkuu mnatisha!

mkuu haina hatari yoyote ,huwezi kuamini tunalala na kugeuka pamoja ilimradi tusiharibu physical contact...... hapo hamna saikolojia ni siku mamood hayajakaa sawa au hali ya hewa imebadilika n.k
 
Jinsi ya kulala haina maana yoyote ktk kitanda, ni maelewano tu mazuri kati ya Dushelele na K, hivi vitu viwili vikiwa na uelewano mzuri hapo kheli tu.
 
mkuu haina hatari yoyote ,huwezi kuamini tunalala na kugeuka pamoja ilimradi tusiharibu physical contact...... hapo hamna saikolojia ni siku mamood hayajakaa sawa au hali ya hewa imebadilika n.k
Mkuu naiombea ndoa yenu idume,mungu awabariki!
 
-- Ni kweli, wapenzi wanavyolala ina elezea mengi HOW STRONG LOVE THEY HAVE...... kuna kulala mwanaume kuweka kichwa/ uso katikati ya matiti ya mkeo.... na sometimes unageuka mwanaume unaingiza kichwa katikati ya mapaja ya mkeo, pia kupitishia miguu huku mikono ikiwa sehemu nyeti.... mwanamke kuwa juu ya mwanaume na kujiachia vizuri kichwa chake kifuani.... na mwanaume kumkumbatia mwanamke kwa nyuma na kujipinda kidogo meanwhile mwanaume kashika matiti yote mawili softly don't message maana utamsisimua kumbuka mnalala...

Hii huongeza hamasa sana sana..... si kulala hovyo hovyo kama changu na mteja wake....!!
 
Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake
::
KUKUMBATIANA
Mtindo huu hutumika sana kwa miaka 5 ya mwanzo wa ndoa.Mume huweka miguu juu ya mkewe na mikono kumkumbatia eneo la kifuani.Aina hii hupendwa sana na wanawake kwani hujiona yuko salama
Ni alama ya mahusiano bora ya kimapenzi.
::
KUTAZAMANA
Hukumbatiana lakini baada ya saa 2 au 3 hujibagua na kila mmoja kulala upande wake.Ni alama ya kusaidia kuondoa mkinzano unaoweza kujitokeza.
::
MALIWAZO YA MUME
Hushikana mikono na mke kuweka kichwa chake kwenye mabega au juu ya kifua cha mumewe.
Ni alama ya tafsiri ya mapenzi ya dhati ya mume kwa mke.
::
BARAFU WA MOYO
Mke hupanda juu ya mume na wanaweza kujadiliana mambo mbalimbali.Ni alama nzuri nyakati za maelewano.
::
KILA MMOJA UPANDE WAKE
Ikiwa mmoja kaweka mguu mmoja au mkono kwa mwenzake,mtindo huu hujulikana kama daraja la mahusiano.Si alama ya kutiliwa mashaka
::
USINGIZI BARIDI
Pale wanandoa wanapolala kama wasiotambuana bila kugusana pasipo kujielewa ni alama kuwa wako mbali kifikra.Hutokea pale mvuto usipokuwepo
Hali hii isiruhusiwe ikue.
::
VISIWA TOFAUTI
Wanalala bila ushirikiano kwa visingizio vya kuchoka,ni kama visiwa viwili tofauti.
Chanzo chaweza kuwa matatizo ya kimwili,kiakili au kiuchumi.Hali hii ikitokea mara kwa mara huweza hata kuachanisha wapenzi
::
MGONGO KWA MGONGO
Mtindo huu hujitokeza sana kwa wapenzi.Ingawa wanaweza kupeana migongo lakini wanaweza kuwasiliana.Ni alama ya kawaida na wanasaikolojia wanauita mtindo huu "muda wa kupumzika"
::
MZIGO USIOHITAJIKA
Kila mmoja hulala kivyake na mara nyingi ni kama vile wanandoa wanataka kuonyeshana umwamba.Kila mmoja hamjali mwenzake,,hali hii si ya kawaida ni mbaya sana kwani hutengana kuanzia wanapopanda kitandani hadi kunapokucha.Si ajabu hata kununua vitanda viwili au kulala vyumba tofauti.Wanasaikolojia wanaita hali hii kiburi na jeuri.
=

Sijui kwanini Hata nimefungua sred hii..OENI jamani Myakute ndani, si kila kinachoimbwa au kuandikwa kitabuni is ok for indoor application. Ah.. Watu ?,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom