Mitindo mbalimbali ya vitenge

Hivi sky hizi wheels nazoziona kwa ukuta wa chumba au nyumba zipo kama roulette wheels ni nini? Tutoane ushamba au ni urembo tu?
 
Kazi yangu ya uhasibu natupa kule nataka kuwa fundi wa kushona mavazi ya kike tuu. Narudia ya kike tuu. Napenda sana kazi ya kuchukua vipimo😍😍
Kuna fundi alikuwa ananishonea nguo alikuwa architect by professional. Alikua na kipaji cha ubunifu alitaka kujifunza kushona baada ya kumaliza form six akiwa amepasua. Baba yake ambae ni mwanasheria nguli alimwambia hakulea fundi charahani.

Bidada alipiga course yake safi, alipomaliza alimwambia mzee nimefanya ulichotaka sasa niache ninfanye ninachotaka.
 
1581359226738.jpeg

1581383024508.jpeg


1581383183239.jpeg


1581383401972.jpeg
 
Back
Top Bottom