Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,648
I lov this tooNapenda mke wangu akivaa mavazi ya mishono ya vitenge, akienda kushona huwa napenda kushona walau shati sare sare.
I lov this tooNapenda mke wangu akivaa mavazi ya mishono ya vitenge, akienda kushona huwa napenda kushona walau shati sare sare.
Mwanamke kitenge hasa uwe na lishepu kama nguva
Mungu anakuona.
Hakujiumba mwenyewe.
Na havitakaa viwe nje ya fashionWanawake hamjui tu ila kitenge kinawapendezesha sana
Yangu ni hii ya viatu vyekunduHapo lazima mmojawapo NI wewe au la unepanga badae uweke yako og. I love seeing wife akiwa ndani ya kivazi Cha kitenge.
Sent using Jamii Forums mobile app