Lol ht cjui imekuwaje nimeingia huku leo !!!naona Mungu alikuwa na mpango na mimi maana nilivyokuwa nahangaika nishonaje vitenge vyangu,
Ss upele umempata mkunaji
Ushukuriwe mtoa mada
My cute designer i know her also she is very talented......Go go go bi dada SW Tanzania tunahitaji wanawake kama wewe. Inshallah you will reach up there

wii hata mie ndo ugonjwa wangu..afu huwezi amini hata nywele now ndo zipo hivyo ila zangu fupi kidogo......napata shida kuzichana basi nafunga mabutu tuuu!
My cute designer i know her also she is very talented......Go go go bi dada SW Tanzania tunahitaji wanawake kama wewe. Inshallah you will reach up there
Mtafute mama mwenye namba hii 0767504971 hakika utapenda ana office hapo urafiki Dar. Amejikita ktk mitindo mbalimbali, maharusi, send off na kitchen party.

Mnh! Nguo ya kitenge ofisini? Mie ni mpinzani mkuu! Kitenge ni kanisani na kwenye shughuli nyingine zisizohusiana na ofisi. Btw, nguo ya bendera kama hiyo unaivaae ofisini? Ha ha ha haaaaaa!