Mzee wa michango Makalla hili asilikalie kimyq kama halijuiaisee kwa vyeo vyote alivyowahi kuwa navyo kuna namna aisee.... kuna namna ambavyo hiyo pesa kaipeleka. nchi hii ukiwa tu mbunge miaka 10 unakuwa class tofauti ya sisi wasaka tonge, sasa ndani ya mwaka mmoja wa kukosa uteuzi kafika hapa?
Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa. Mwaka 2021 akateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2024 alipomaliza muda wake. Kwa bahati mbaya baada ya hapo amekuwa kwenye changamoto nyingi za kifamilia.
#MyTake:
Unapoombea nchi, usisahau kuombea wanaume (hasa waliooa). Wanapitia mitihani mingi sana ya maisha.!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18d4au912A/?mibextid=D5vuiz
Sasa kawaje, mbona watuonesha gari tu mkuuMitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa. Mwaka 2021 akateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2024 alipomaliza muda wake. Kwa bahati mbaya baada ya hapo amekuwa kwenye changamoto nyingi za kifamilia.
#MyTake:
Unapoombea nchi, usisahau kuombea wanaume (hasa waliooa). Wanapitia mitihani mingi sana ya maisha.!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18d4au912A/?mibextid=D5vuiz
Ndio shida ya kuoa watotoMWaka jana miezi kama hii huyu mke wa jamaa alireport kuvamia na wasiojulikana hata Clouds walireport. Kitu kizuri wote wako hai.
Pitia Hapa kidogo