Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,900
- 828,512
Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM lakini hakupitishwa. Mwaka 2021 akateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2024 alipomaliza muda wake. Kwa bahati mbaya baada ya hapo amekuwa kwenye changamoto nyingi za kifamilia.
#MyTake:
Unapoombea nchi, usisahau kuombea wanaume (hasa waliooa). Wanapitia mitihani mingi sana ya maisha.!
View: https://www.facebook.com/share/v/18d4au912A/?mibextid=D5vuiz
#MyTake:
Unapoombea nchi, usisahau kuombea wanaume (hasa waliooa). Wanapitia mitihani mingi sana ya maisha.!
View: https://www.facebook.com/share/v/18d4au912A/?mibextid=D5vuiz