Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Kama wanafunzi wenyewe wana akili kama zako, hata walimu wangeambiwa wakeshe madarasani sidhani kama wataelewa.
Kama unaona walimu walifeli basi subiri uone moto wake.Unawafahamu walimu wa UPE au unaandika tu ili na wewe uonekane kuwa leo umechangia kwenye hoja hii?
Tumia akili yako.Ukishauriwa kuandika kitu, kabla ya kuandika,changanya na zako.
Acha ujinga wako kuna mtu alimulazimisha kwenda ualimu? si kwasababu ya kufeli kwako sekondari, leo unataka ulipwe mshahara mkubwa wakati hata kufundisha hujui.
Mbona enzi ya UPE wale walimu waliofundisha bila manung'uniko ndio wmetoa maprofesa bora? wanafunzi mnaowafundisha hata kuongea kiswahili hawajui . kama hutaki kazi acha kabebe mizigo sokoni
Mbona jazba ndugu yetu?!
Kwanza acha lugha za kijijini, JF iko mjini usiichafue, sio ALIMULAZIMISHA, next time andika ALIMLAZAMISHA, sawa?
Wewe kama unaishi enzi za UPE hiyo ni wewe. Mwalimu anastahili kulipwa vyema ili tupate matokeo mazuri. Hao unaosema walizalishwa na UPE wakawa maprofesa wazuri ndio nani hao? Hawa kina Lipumba?
Acha ujinga wako kuna mtu alimulazimisha kwenda ualimu? si kwasababu ya kufeli kwako sekondari, leo unataka ulipwe mshahara mkubwa wakati hata kufundisha hujui.
Sawa nimekuelewa, lakini kumbuka kuwa kulipa mishahara mikubwa pekee hakufanyi ufaulu upande na elimu kuwa bora. bado kuna changamoto nyingi tu mfano upungufu wa walimu, uhaba wa vifaa vya kufundishia, mazingira duni ya kijifunzia na kufundsishia, miundombinu bora. sasa huyo mwalimu anataka kutudanganya kuwa walimu wakilipwa vizuri ndo elimu itakuwa bora, sio kweli. hivi walimu 3 wanaweza kufundisha kuanzia darasa la kwanza hadi la saba na matokeo yakawa mazuri.
Acha ujinga wako kuna mtu alimulazimisha kwenda ualimu? si kwasababu ya kufeli kwako sekondari, leo unataka ulipwe mshahara mkubwa wakati hata kufundisha hujui.
Mbona enzi ya UPE wale walimu waliofundisha bila manung'uniko ndio wmetoa maprofesa bora? wanafunzi mnaowafundisha hata kuongea kiswahili hawajui . kama hutaki kazi acha kabebe mizigo sokoni
Mkuu hii comment ilikuwa yako Mkondakaiye? Nafikiri hii ya juu ilikuja baada ya kuamka vizuri, thanks kwa kujirudi, ndio uungwana
Mbona jazba ndugu yetu?!
Kwanza acha lugha za kijijini, JF iko mjini usiichafue, sio ALIMULAZIMISHA, next time andika ALIMLAZAMISHA, sawa?
Wewe kama unaishi enzi za UPE hiyo ni wewe. Mwalimu anastahili kulipwa vyema ili tupate matokeo mazuri. Hao unaosema walizalishwa na UPE wakawa maprofesa wazuri ndio nani hao? Hawa kina Lipumba?
We unahangaika nini nchi ishauzwa?nenda class mara mbili kwa mwezi then wait for the full salary!FULL STOP.
We unahangaika nini nchi ishauzwa?nenda class mara mbili kwa mwezi then wait for the full salary!FULL STOP.
Seconded broBig results now - is this a moto; objective; goal; mission; or vission?
How does it feature into the Ministry's goals and the 2013/14 education plans and budget?
kwanini umekuwa mwalimu hapa nikulaumu mawazo yako kuliko kumuonea third part ambaye ni mwanafunzi..
Kazi mojawapo waliopewa maafisa elimu, wakaguzi na wakuu wa vyuo ni kufuatilia shule zinazofanya vibaya na kuchukua hatua kwa walimu wasiofundisha. So kama unaona ualimu haulipi acha hiyo kazi.