Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Nachojua wanajeshi wakigundua hawawezi kupotezea anaweza kukuua na wakafunika wala kusiwe na kesi. Nakumbuka kuna jamaa Arusha alikuwa anakula mke wa mjeshi. Jamaa alienda mpka kwake na short gun, bahati nzuri jamaa akuwepo nyumbani saa sita usiku. Mshikaji alikimbia kazi na nyumba ya kupanga baadae alituma ndugu zake wafate vitu vyake.

Usijiusishe naye huyo mwanamke, wanawake ni wabaya sana wakitaka kukamilisha misheni zao za mapenzi na wanajisahau unaweza ukakuta kabanwa na mme wake kwa mbinu za kijeshi akasema kila kitu kasheshe inauja kwako. Unaweza ukakimbia kazi na nyumba kwa mtu ambae hata future nae huna ni tamaa tu
Bora umemsaidia kwa kiasi kikubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefungua uzi nikijua kuna la maana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mke wa mtu sumu!! Kwa leo tuishie hapo

Thank me later
 
Siku hizi kuna makampuni na wanasheria wanaoweza kukusaidia kuandaa wosia wako kabla hujauawa... Pia unaweza kulipa gharama za mazishi yako mapema kupitia mwanasheria ili kuweka logistic za msiba wako vizuri! Matarumbeta utapigiwa bure maana gharama zake atalipia mume wa huyo mwanamke!
 
Wake wa wajeda wana shida gani?

Stori nyingi za kugegeda wake za watu zinahusisha wake wa wajeda.
 
Wake wa wajeda wana shida gani?

Stori nyingi za kugegeda wake za watu zinahusisha wake wa wajeda.
tunahitaji research hapa maana hata yeye unisimulia rafiki zake wanacheat sana na vijana wengine maana wote ni wake wa wajeda
 
Back
Top Bottom