Kama weupe ingekuwa Mali, Ubuyu usingepakwa rangi!!!asee hata kama unakuwa wewe mkuu mtoto mweupe ***** mzuuri kweli shepu bomba kakuelewa mwenyewe unafanyaje na anawivu kweli
Jibu utalipata baada ya kumpanda huyo (mke wa mtu) mama.kwani wote waliotembea na wake za watu wamefirwa mkuu
Muulize mwanamuziki dully Sykes na chifupa nn kilichompata,,hakika unalitafutia tako lako huzuni,,hakika IPO siku tako lako litateleza kama kambale ,hakika IPO siku utaenda chooni kutawaza shahawa za mwanaume mwenzako toka kwenye makalio yako,!naiman hilo tukio hutolisahau maisha yako yote au ndio ikawa chanzo chako cha kuwa shoga maarufu huko Dodoma.kwani wote waliotembea na wake za watu wamefirwa mkuu
Acha ujuha,unapendana na mke wa mtu,kwa mfano angekua wa kwako,halafu mtu mwingine anasema anapendana na mke wako?kumbuka cjawahi kulala na mke wa mtu makusudi ila huyu wote tunapendana
Kwenye mada umesema ni mama wa makamo, kwenye hii comment unasema mtoto mzuri mweupe..asee hata kama unakuwa wewe mkuu mtoto mweupe ***** mzuuri kweli shepu bomba kakuelewa mwenyewe unafanyaje na anawivu kweli
Hao Si ndio mafala,hawajitambui,,ndio wanatekaga watu na kuwafira kumbe ndio hawa miongoni mwao.Alafu umeajiriwa sehemu fulani nyeti..kweli nchi ina hasara!
Habari jukwaa pendwa, story iko hivi ni kwamba nilikuwa nikiapa sitokuja kula mke wa mtu hata iweje lakini kwangu imekuwa tofauti sasa , nakumbuka kipindi ambocho nilikuwa nasoma niliwahi kupendwa na mke wa mtu na alinisumbua sana mwisho wa siku akala bloku moja nzito, ilikuwa nimeshawakwepa wanawake za watu kama watatu hadi nilipomaliza chuo.
Sasa mambo yako hivi nimepata kazi sehemu flani nyeti na nimeamishiwa kikazi Dodoma huko ndipo nimekutana na mama wa makamo kiukweli ni mzuuri mno nilimpenda sana kufuatilia deatails zake naambiwa ni mke wa mtu tena mumewe ni mjeshi kwakweli niliogopa sana ila namtamani mno kuja kujua na yeye anantamani sana kwakweli sasa hivi juzi kantamkia mwenyewe kwamba ananilewa.
Kwakweli had saivi niko njia panda nimgonge au niendelee na misimamo yangu ila nampenda na ananipenda kweli tumezoeana mno yeye amekuwa msumbufu sana na yeye ndie wakwanza kunitamkia maneno haya kabla kidume sijajitosa kwakweli mtihani huu unaerekea kunishinda naombeni ushauri
...never never never let your emotional (nyege) control your thinking...
Hivi unaanzaje kupenda kula ugali wa mtu uliotengwa mezani,unajua ameupataje?
Kwa kifupi jua kuwa jasho la mtu halirambwi...
Tumeumbwa na tamaa ndio,tamanii Ila usitangulize tamaa kabla ya akili....kwani ukitanguliza tamaa mbele sheytwani ndie atakae tumia akili yako uliyoiacha nyuma...
Be careful man... never trust a woman.
Ahahaaa..Kweli never trust a woman ila kumgegeda amgegede tuu