Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Ni bora usimle kuliko kumla nakuanza kuangaika kujitoa baada ya kuingia kwenye penzi. Mapenzi hayajifichi na kuna siku utashikwa tu na elewa kuwa wanajeshi wana mbinu nyingi za kufuatilia watajua tu. Unahatarisha sana maisha yako kwa hili. Mimi kama mzinzi mstaafu nakushauri tu achana nae. Endelea na maisha yako na kiapo chako cha kutokula wake za watu endelea nacho
 
asee hata kama unakuwa wewe mkuu mtoto mweupe ***** mzuuri kweli shepu bomba kakuelewa mwenyewe unafanyaje na anawivu kweli
Sasa kwann umekuja kuomba ushaur wakat majibu unayo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama story ni ya ukweli siyo utunzi basi jiandae nahisi kifo kinakuita maana kuna mke wa mtu baki na kuna mke wa mjeshi hapo anza kuandaa na mirathi kama unaona anakupenda sana kuliko na mume wake
ni ya kweli mkuu ila naomba uombe yasije kukukuta haya nayopitia mimi ni kweli bado sijafanya uamuzi lakini yaani amekuwa ni mtu wa kunionea wivu kupita maelezo pia ni mtu wa kutaka tukae wote muda wote hata ule wa kazi nimekuwa namuepuka sana lkn nashindwa sijui nikuambiaje hawa viumbe wakiamua lao
 
Ahahaaa..

Huenda huo mtego...na wanawake wakitaka kukuangmiza hutumia kitumbua Chao tu that why I said never trust them
jambo zito mkuu ili napitia wengine uchukulia jambo simple sana ila kama yaje kuwatokea hao nddio watajua nini namaanisha
 
Ni bora usimle kuliko kumla nakuanza kuangaika kujitoa baada ya kuingia kwenye penzi. Mapenzi hayajifichi na kuna siku utashikwa tu na elewa kuwa wanajeshi wana mbinu nyingi za kufuatilia watajua tu. Unahatarisha sana maisha yako kwa hili. Mimi kama mzinzi mstaafu nakushauri tu achana nae. Endelea na maisha yako na kiapo chako cha kutokula wake za watu endelea nacho
nashukuru mkuu kwa ushauri huu inabidi nikaze kwelikweli huu msimamo maana nikimla tu najua shoo labda iwe mbovu aje kunikataa mwenyewe ila si mimi kumkataa mtu anachukia hadi mahusiano yangu mimi binafsi sipati picha nikija kumlamba ntaweka wapi sura yangu hii
 
Kwann unatamaniwa sana na wake za watu? Wewe ni mzuri sana kuliko wanaume zao?

Kuwa makini, siku hizi watu wanatafuta sana pesa utu umepotea. Hako kamshahara kanaweza kakaishia kwenye kulipia picha zisivujishwe. Kuwa makini.
 
nashukuru mkuu kwa ushauri huu inabidi nikaze kwelikweli huu msimamo maana nikimla tu najua shoo labda iwe mbovu aje kunikataa mwenyewe ila si mimi kumkataa mtu anachukia hadi mahusiano yangu mimi binafsi sipati picha nikija kumlamba ntaweka wapi sura yangu hii
Nachojua wanajeshi wakigundua hawawezi kupotezea anaweza kukuua na wakafunika wala kusiwe na kesi. Nakumbuka kuna jamaa Arusha alikuwa anakula mke wa mjeshi. Jamaa alienda mpka kwake na short gun, bahati nzuri jamaa akuwepo nyumbani saa sita usiku. Mshikaji alikimbia kazi na nyumba ya kupanga baadae alituma ndugu zake wafate vitu vyake.

Usijiusishe naye huyo mwanamke, wanawake ni wabaya sana wakitaka kukamilisha misheni zao za mapenzi na wanajisahau unaweza ukakuta kabanwa na mme wake kwa mbinu za kijeshi akasema kila kitu kasheshe inauja kwako. Unaweza ukakimbia kazi na nyumba kwa mtu ambae hata future nae huna ni tamaa tu
 
Ahahaaa..

Huenda huo mtego...na wanawake wakitaka kukuangmiza hutumia kitumbua Chao tu that why I said never trust them

Ila kweli bwana papuchi inawaangamiza wengi...mie mwenye inanitia umaskini kila leo..

Tatizo bwana wanawake watamu sana hasa ukiwqchukulia ni watu waku have fun nao tuu
 
Usithubutu, achana na mke wa mtu itakugharimu.
 
Mwanawane usituangushe...mgegede huyo mwanamke ...papuchi sii kaileta mwenyewe.
Mijitu ina vitisho saana hapa jukwani,mbona hao wake za watu ndo wanaongoza kugegedwa.
 
Mijitu ina vitisho saana hapa jukwani,mbona hao wake za watu ndo wanaongoza kugegedwa.

Bwana wee acha tuu wakati huku mtaani tunajigegedea kwa raha zetu tena hafi tunawapa mafunzo ya kugegedana🤣🤣🤣🤣
 
Bwana wee acha tuu wakati huku mtaani tunajigegedea kwa raha zetu tena hafi tunawapa mafunzo ya kugegedana🤣🤣🤣🤣
Hahaa,labda hao wenzetu wapo ulimwengu mwingine..ila hawa wa huku mtaani wanagegedwa haswa na hatuoni lolote.
 
Back
Top Bottom