Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Habari jukwaa pendwa, story iko hivi ni kwamba nilikuwa nikiapa sitokuja kula mke wa mtu hata iweje lakini kwangu imekuwa tofauti sasa , nakumbuka kipindi ambocho nilikuwa nasoma niliwahi kupendwa na mke wa mtu na alinisumbua sana mwisho wa siku akala bloku moja nzito, ilikuwa nimeshawakwepa wanawake za watu kama watatu hadi nilipomaliza chuo.
Sasa mambo yako hivi nimepata kazi sehemu flani nyeti na nimeamishiwa kikazi Dodoma huko ndipo nimekutana na mama wa makamo kiukweli ni mzuuri mno nilimpenda sana kufuatilia deatails zake naambiwa ni mke wa mtu tena mumewe ni mjeshi kwakweli niliogopa sana ila namtamani mno kuja kujua na yeye anantamani sana kwakweli sasa hivi juzi kantamkia mwenyewe kwamba ananilewa.
Kwakweli had saivi niko njia panda nimgonge au niendelee na misimamo yangu ila nampenda na ananipenda kweli tumezoeana mno yeye amekuwa msumbufu sana na yeye ndie wakwanza kunitamkia maneno haya kabla kidume sijajitosa kwakweli mtihani huu unaerekea kunishinda naombeni ushauri