Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Mitihani imenizidi sasa naona kushindwa

Habari jukwaa pendwa, story iko hivi ni kwamba nilikuwa nikiapa sitokuja kula mke wa mtu hata iweje lakini kwangu imekuwa tofauti sasa , nakumbuka kipindi ambocho nilikuwa nasoma niliwahi kupendwa na mke wa mtu na alinisumbua sana mwisho wa siku akala bloku moja nzito, ilikuwa nimeshawakwepa wanawake za watu kama watatu hadi nilipomaliza chuo.

Sasa mambo yako hivi nimepata kazi sehemu flani nyeti na nimeamishiwa kikazi Dodoma huko ndipo nimekutana na mama wa makamo kiukweli ni mzuuri mno nilimpenda sana kufuatilia deatails zake naambiwa ni mke wa mtu tena mumewe ni mjeshi kwakweli niliogopa sana ila namtamani mno kuja kujua na yeye anantamani sana kwakweli sasa hivi juzi kantamkia mwenyewe kwamba ananilewa.

Kwakweli had saivi niko njia panda nimgonge au niendelee na misimamo yangu ila nampenda na ananipenda kweli tumezoeana mno yeye amekuwa msumbufu sana na yeye ndie wakwanza kunitamkia maneno haya kabla kidume sijajitosa kwakweli mtihani huu unaerekea kunishinda naombeni ushauri

Achana na mke wa mtu. Mpotezee tu.
 
JAMANI HUU MSEMO WA MKE WA MTU SUMU MUUSIKIE TU.....USIOMBE UFANYE KAZI DHIDI YAKO UTALIA......MKE WA MTU MUACHE AWE MKE WA MTU.
NILIKUTANA NA KIMBEMBE KIZITO MAFUNZO NILIYOPATA MAENEO FLAN NDIO YALINIOKOA....ILIKUA BATTLE NZITO SANA
 
Nachojua wanajeshi wakigundua hawawezi kupotezea anaweza kukuua na wakafunika wala kusiwe na kesi. Nakumbuka kuna jamaa Arusha alikuwa anakula mke wa mjeshi. Jamaa alienda mpka kwake na short gun, bahati nzuri jamaa akuwepo nyumbani saa sita usiku. Mshikaji alikimbia kazi na nyumba ya kupanga baadae alituma ndugu zake wafate vitu vyake.

Usijiusishe naye huyo mwanamke, wanawake ni wabaya sana wakitaka kukamilisha misheni zao za mapenzi na wanajisahau unaweza ukakuta kabanwa na mme wake kwa mbinu za kijeshi akasema kila kitu kasheshe inauja kwako. Unaweza ukakimbia kazi na nyumba kwa mtu ambae hata future nae huna ni tamaa tu
mkuu nashukuru kwa ushauri wako huu mzuri ntaufanyia kazi
 
Mijitu ina vitisho saana hapa jukwani,mbona hao wake za watu ndo wanaongoza kugegedwa.
sure mkuu si kutishana bali tupeane mbinu za kuweza kula hawa wake za watu kwa umakini wa hari juu zaidi
 
Shetani ni mnafiki sana sasa hivi anakushawishi utembee na mke wa mtu halafu baadae atahamia kwa mwenye mke atamshawishi akufire [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Habari jukwaa pendwa, story iko hivi ni kwamba nilikuwa nikiapa sitokuja kula mke wa mtu hata iweje lakini kwangu imekuwa tofauti sasa , nakumbuka kipindi ambocho nilikuwa nasoma niliwahi kupendwa na mke wa mtu na alinisumbua sana mwisho wa siku akala bloku moja nzito, ilikuwa nimeshawakwepa wanawake za watu kama watatu hadi nilipomaliza chuo.

Sasa mambo yako hivi nimepata kazi sehemu flani nyeti na nimeamishiwa kikazi Dodoma huko ndipo nimekutana na mama wa makamo kiukweli ni mzuuri mno nilimpenda sana kufuatilia deatails zake naambiwa ni mke wa mtu tena mumewe ni mjeshi kwakweli niliogopa sana ila namtamani mno kuja kujua na yeye anantamani sana kwakweli sasa hivi juzi kantamkia mwenyewe kwamba ananilewa.

Kwakweli had saivi niko njia panda nimgonge au niendelee na misimamo yangu ila nampenda na ananipenda kweli tumezoeana mno yeye amekuwa msumbufu sana na yeye ndie wakwanza kunitamkia maneno haya kabla kidume sijajitosa kwakweli mtihani huu unaerekea kunishinda naombeni ushauri
Huihurumii washeli yako mzee
 
kamanda mbona uko dom machiki wachuo wamejaa kibao, mke wa mtu sio hapo mtashawishika kutinduana mwisho wa siku mapenzi yatakolea sana alafu uyo mama atamsahau mjeda wake ataamia kwako hapo ndio itakuwa mwisho wako wa kudakwa na hutoamini kitakachotokea mwisho wa siku utaiona kazi chungu na kuanza kuanzisha uzi wa kubadilishana kituo cha kazi yote ya nini kijana achana na uyo mama
 
JAMANI HUU MSEMO WA MKE WA MTU SUMU MUUSIKIE TU.....USIOMBE UFANYE KAZI DHIDI YAKO UTALIA......MKE WA MTU MUACHE AWE MKE WA MTU.
NILIKUTANA NA KIMBEMBE KIZITO MAFUNZO NILIYOPATA MAENEO FLAN NDIO YALINIOKOA....ILIKUA BATTLE NZITO SANA
ilikuwaje mkuu nipe story
 
kamanda mbona uko dom machiki wachuo wamejaa kibao, mke wa mtu sio hapo mtashawishika kutinduana mwisho wa siku mapenzi yatakolea sana alafu uyo mama atamsahau mjeda wake ataamia kwako hapo ndio itakuwa mwisho wako wa kudakwa na hutoamini kitakachotokea mwisho wa siku utaiona kazi chungu na kuanza kuanzisha uzi wa kubadilishana kituo cha kazi yote ya nini kijana achana na uyo mama
dah kwakweli naanza kumkataa sasa majanga yasije kunifika
 
asee hata kama unakuwa wewe mkuu mtoto mweupe ***** mzuuri kweli shepu bomba kakuelewa mwenyewe unafanyaje na anawivu kweli
Sawa ndio hivyo , gonga ugongwe
 
Back
Top Bottom