Miti ya Mapambo yaota ghafla barabara ya Sam Nujoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miti ya Mapambo yaota ghafla barabara ya Sam Nujoma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mfianchi, May 4, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Leo nimeona maajabu miti ya mapambo imeota ghafula kwenye barabara ya Sam Nujoma maeneo ya Mlimani City Shopping Mall,hakika barabara imependeza lakini hii miti haioti hovyo ,ina masharti na moja ya sharti ni kuwa mpaka pale ijue itatembelewa na waheshimiwa sana wageni kutoka nje ndio inasitawi na wageni waondokapo tu hii miti hufa. Lo naionea huruma kwani itaishi kwa siku si zaidi ya tatu tu hapo Mlimani city
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Zitakauka wiki ijayo tu,we subiri tu!
   
 3. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2010
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Jamani hakuna anayeweza piga picha tuone jinsi kulivyopendza now?
   
Loading...