Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,003
- 1,102
Nenda kwa mjumbe wako...anzia hapo ikishindika fungua case mahakamani...
Mkuu acha miti ikupe oksijeni
Mwagia chumvi usikuMjumbe mwenyewe ni dada yake, ndio maana nataka mimi niikaushe kimya bila uhasama
Ukiikausha ndo uhasama utakapotokea..!Mjumbe mwenyewe ni dada yake, ndio maana nataka mimi niikaushe kimya bila uhasama
Kwenye pic mie sijaona shida yoyote hapo. Labda kama kuna shida nyengine hujaiweka hapa...Habarini wakuu! Naombeni msaada wa kujua nitumie njia gani ya kukausha miti ya jirani yangu, kwa kweli kwangu ni kero halafu sio mstaarabu, hata nikimuomba mimi niipunguze tunasumbuana bila sababu za msingi, nataka nipate dawa/sumu niikaushe tu kimyakimya bila kujua, sipendi magomvi nae wakuu, natesa familia yangu kusafisha uwanja kila wakati.View attachment 654248View attachment 654249View attachment 654249
Chumvi huwa inamwagiwa endapo ingekuwa imekatwa, unamwagia pale kwenye round juu ili usichipue.Mwagia chumvi usiku
Kwenye pic mie sijaona shida yoyote hapo. Labda kama kuna shida nyengine hujaiweka hapa...
nilijaribu kumwagia sufuria la chumvi ya unga kwenye mwembe wa jirani eti alikuja kuupanda kwenye mpaka,ulikauka fastaChumvi huwa inamwagiwa endapo ingekuwa imekatwa, unamwagia pale kwenye round juu ili usichipue.
Agongelee tu misumari.
Inakauka kimya kimya
Mwagia chumvi usiku