Ngoja nifike mjini nitakaweka chapu.Mkuu umesahau picha ni muhimu sanaaa!
Makadirio sahihi ya idadi ya miti per ekari au kwa ujumla wa ekari zote.Ngoja nifike mjini nitakaweka chapu.
maximum 500, inacheza 450 to 500Makadirio sahihi ya idadi ya miti per ekari au kwa ujumla wa ekari zote.
Sipo mafinga kwa sasa, ila nakuja sana mafinga, na kiwanja changu kikubwa ni kwa babu kuku pale na Kalabash.Mkuu, na wewe uko hapo hapo mafinga au?
Sawa sawa mkuu! Kwasasa hivi tayari nilipata miti kifanya, Nikimaliza kazi nitakutafuta nije niicheki kama itakua haijauzwa.Sipo mafinga kwa sasa, ila nakuja sana mafinga, na kiwanja changu kikubwa ni kwa babu kuku pale na Kalabash.
Sawa,Sawa sawa mkuu! Kwasasa hivi tayari nilipata miti kifanya, Nikimaliza kazi nitakutafuta nije niicheki kama itakua haijauzwa.
Kijiji hicho nakijua, usafiri wake mgumu sana. Na mbaya sana ni msimu wa mvuaKuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km toka Iringa/Mafinga. Bei ya kila eka moja ni Tsh 1,200,000/. Mashamba yanafikika kirahisi.
Shamba la kwanza ni eka 5, lipo kando ya Barabara umri miaka 12, shamba la pili eka 50, miaka 13 gari linafika hadi shambani. Shamba la tatu eka 36, miaka 13. Barabara inaishia kama mita 400 hivi, pakisembuliwa gari linafika vizuri.
Wenye mashamba wapo dar, mmoja anauza ili aoteshe parachichi, wa pili anauza ili afanye mambo mengine na ku-replant eucalyptus.
Haya mashamba nayafahamu back ground yake vizuri sababu nilishiriki kuyanunua, kuotesha, kutunza na sasa kuuza. Karibuni.
Ndo maana bei ni rafikiKijiji hicho nakijua, usafiri wake mgumu sana. Na mbaya sana ni msimu wa mvua
Ina maana mti mmoja ni shilingi 2,400? Big lossmaximum 500, inacheza 450 to 500
Ndiyo boss wangu!Sawa,
Kifanya unachana mbao?
Miti yote kwa asilimia kubwa inatoa 2x4 zaidi, 2x6 kidogo na ten hakuna, ila 2x2 unapata kama zote. Shamba la eka 36 na 50 yalicheleweshwa prunning na usafi.
hali ni mbaya sana,Ina maana mti mmoja ni shilingi 2,400? Big loss
Nimetoka kuuza miti Kifanya kijiji cha Mgala november. bado kuna kipori cha kuuza.Ndiyo boss wangu!
Anhaa, Mimi niko kijiji cha Mikongo huku.Nimetoka kuuza miti Kifanya kijiji cha Mgala november. bado kuna kipori cha kuuza.
kARIBU NA LIWENGI SIYO HAHAAAAAAnhaa, Mimi niko kijiji cha Mikongo huku.