Plot4Sale Mashamba ya miti (Iringa)aina ya Cypress na piner yanauzwa

therealjoh

Senior Member
Dec 21, 2016
108
87
Mashamba ya miti zaidi ya ekari 50 yaliyo mkoani Iringa-mafinga yanauzwa.

Miti ipo kati ya umri wa miaka 6-10 kulingana na shamba husika.

Bei ya shamba inauzwa kwa ekari/zima kulingana na shamba husika na umri wa miti iliyo ndani ya shamba husika.

Shamba la ekari 7 miti ina miaka 7 bei 1.2milioni

Shamba la ekari 22 ipo miti mikubwa/midogo,miti mikubwa ni ⅓ ya shamba lote, bei ni laki 7.5 kwa ekari.

Shamba la ekari 6 miti ina miaka 7-8 bei ni milioni 1.5 kwa ekari.

Lipo pia shamba la ekari 25 lenye miti ya zaidi ya miaka 10,ila nusu ya shamba imeshachanwa mbao.

Mashamba yote yana hati ya mauziano ya kijiji.

Kwa mawasiliano na maulizo yoyote nitafute 0688 055 606 au ni PM.

NB.Mashamba yote yana fire line kubwa kuzuia moto kuvuka na kufikia mashamba,kama yanavyoonekana kwenye picha

Karibuni sana.

IMG-20220115-WA0014.jpeg
IMG-20220115-WA0007.jpeg
IMG-20220115-WA0006.jpeg
IMG-20220115-WA0013.jpeg
IMG-20220115-WA0008.jpeg
IMG-20220115-WA0012.jpeg
IMG-20220115-WA0002.jpeg
IMG-20220115-WA0003.jpeg
IMG-20220115-WA0010.jpeg
 
Mashamba ya miti zaidi ya ekari 50 yaliyo mkoani Iringa-mafinga yanauzwa.

Miti ipo kati ya umri wa miaka 6-10 kulingana na shamba husika.

Bei ya shamba inauzwa kwa ekari/zima kulingana na shamba husika na umri wa miti iliyo ndani ya shamba husika.

Shamba la ekari 7 miti ina miaka 7 bei 1.2milioni

Shamba la ekari 22 ipo miti mikubwa/midogo,miti mikubwa ni ⅓ ya shamba lote, bei ni laki 7.5 kwa ekari.

Shamba la ekari 6 miti ina miaka 7-8 bei ni milioni 1.5 kwa ekari.

Lipo pia shamba la ekari 25 lenye miti ya zaidi ya miaka 10,ila nusu ya shamba imeshachanwa mbao.

Mashamba yote yana hati ya mauziano ya kijiji.

Kwa mawasiliano na maulizo yoyote nitafute 0688 055 606 au ni PM.

Karibuni sana.

View attachment 2082871View attachment 2082872View attachment 2082873View attachment 2082874View attachment 2082875View attachment 2082876View attachment 2082877View attachment 2082878View attachment 2082879
Utapeli haupo?
 
Shidaa n moto aseee hiyoo miti n petrol omba sana Mungu moto usije kugusa shamba lako..kuna jama yangu kapoteza heka 7 mwaka jana ..huku mzungu flan kapata na uchizi kwa kupoteza heka karibu 100 kwa moto ...watu huzan ukipanda hii miti unasubiri kuvuna sio kwel..
 
Hakuna uwekezaji usio na changamoto ndiyo maana binadamu alikaa chini kuleta vitu kama bima.
Tuendelee kujifunza maana ya uwekezaji.
 
Shidaa n moto aseee hiyoo miti n petrol omba sana Mungu moto usije kugusa shamba lako..kuna jama yangu kapoteza heka 7 mwaka jana ..huku mzungu flan kapata na uchizi kwa kupoteza heka karibu 100 kwa moto ...watu huzan ukipanda hii miti unasubiri kuvuna sio kwel..
Pia kama unapiga fire line kubwa kiasi na kwa wakati kuzuia moto usivuke kwenye mashamba yako utakuwa umedhibiti moto kwa kiwango kikubwa.

Tamaza mfano huu
IMG-20220115-WA0002.jpeg
 
Mimi yenye umri wa miaka 10 si ni muda wa kuvuna? Kwa nini usipambane ivunwe ili update faida badala yake unauza kwa hasara?
 
Mbona bei rahisi sana au sielewi? eka nzima milioni moja tuu? kama ni kweli hii biashara sio nzuri bora hata ufuge mbuzi
 
Mashamba ya miti zaidi ya ekari 50 yaliyo mkoani Iringa-mafinga yanauzwa.

Miti ipo kati ya umri wa miaka 6-10 kulingana na shamba husika.

Bei ya shamba inauzwa kwa ekari/zima kulingana na shamba husika na umri wa miti iliyo ndani ya shamba husika.

Shamba la ekari 7 miti ina miaka 7 bei 1.2milioni

Shamba la ekari 22 ipo miti mikubwa/midogo,miti mikubwa ni ⅓ ya shamba lote, bei ni laki 7.5 kwa ekari.

Shamba la ekari 6 miti ina miaka 7-8 bei ni milioni 1.5 kwa ekari.

Lipo pia shamba la ekari 25 lenye miti ya zaidi ya miaka 10,ila nusu ya shamba imeshachanwa mbao.

Mashamba yote yana hati ya mauziano ya kijiji.

Kwa mawasiliano na maulizo yoyote nitafute 0688 055 606 au ni PM.

NB.Mashamba yote yana fire line kubwa kuzuia moto kuvuka na kufikia mashamba,kama yanavyoonekana kwenye picha

Karibuni sana.

View attachment 2082871View attachment 2082872View attachment 2082873View attachment 2082874View attachment 2082875View attachment 2082876View attachment 2082877View attachment 2082878View attachment 2082879
CC Malila
 
Back
Top Bottom