Mithali 19:14

mithal31:10-11.

Maneno ya Mugu yanasema hiv : Mke mwema ni nani awezaye kumwona ? Maana kima chake chapita kima cha marijani moyo wa mumewe humwamini wala hatkosa kupata mapato .
Jamo la msingi ni kuwa makini katika kupata mtu sahihi ambaye Mungu amekumksudia katika kumaliza maisha yako hapa duniani tukumbuke kuw robo tatu ya maisha yaliybak ni huko ndoani . Lazima mtu upate uhakika na mtu uliye nae ndo mana tunasisitizwa tuenende katika roho tusiufuate mwili
 
Charminglady sijasema natafuta nimeiweka hapa ili liwe la kutupima kama tunayafuata haya na kuyajua kabla hatujalaumu matukio ya mahusiano..

Charminglady India umesharudi????

Hata mie sijasema unatafuta, "Kifungu chako kinasema mke mwema hutoka kwa Bwana" Ndio maana nikasema nawe utampata toka kwa Bwana!

Ndio nimesharudi!
 
Maneno ya Mugu yanasema hiv : Mke mwema ni nani awezaye kumwona ? Maana kima chake chapita kima cha marijani moyo wa mumewe humwamini wala hatkosa kupata mapato .
Jamo la msingi ni kuwa makini katika kupata mtu sahihi ambaye Mungu amekumksudia katika kumaliza maisha yako hapa duniani tukumbuke kuw robo tatu ya maisha yaliybak ni huko ndoani . Lazima mtu upate uhakika na mtu uliye nae ndo mana tunasisitizwa tuenende katika roho tusiufuate mwili
waooh wapaswa kuwa mchungaji umenikonga moyo.
 
nyumba na mali m2 hupewa na wazazi wake bali mke mwema hutoka kwa bwana
 
Back
Top Bottom