Mithali 10:10...!!!!

Mithali 10:10...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG_20170613_205357.png
 
Inasemaje hiyo mithali kumi mstari wa kumi mkuu...........
 
HII COMBINATION KAMA SIJAIELEWA HIVI AU NI KAMA CBG???[emoji2]
 
Mithali 9:7.....Enyi wajinga, acheni ujinga mkaishi, mkaende katika njia ya ufahamu.
 
Mithali 10:10
"Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka"
 
Mkuu njoo utupe baraka zako kwenye jukwaa la burudani.
Tupo na mkuu iddy anashusha riwaya ya 'kikosi cha kisasi'...
Karibu sana mkuu.
Shukrani mkuu nitakuja ngoja niweke mambo sawa, usisahau kunitagi au kunipa link ya uzi husika
 
Akonyezaye kwa jicho huleta masikitiko;Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.
11 Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima;Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,
12 Kuchukiana huondokesha fitina;Bali kupendana husitiri makosa yote.
13 Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu;Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.
14 Watu wenye akili huweka akiba ya maarifa;Bali kinywa cha mpumbavu ni uangamivu ulio karibu.
15 Mali ya mtu tajiri ni mji wake wa nguvu;Uangamivu wa maskini ni umaskini wao.
 
Back
Top Bottom