Mitego ya wanawake

Umefafanua vizuri, hapo kwenye kutoa pesa kupata penzi (uliyoita quid pro quo) sio msingi wa andiko hili.

Msingi wa andiko hili ni kwamba kwa nini akikutaka mwanamke na akaweka nyavu zake ni vigumu kuchomoka?
 
Exactly lkn hawachukulii serious maana ni jambo common kwa wanaume wengi sii yeye tu maana wengine sio famous Ila wanayapitia tu
Challenge sio kuwapotezea later! Ni kuwakatalia wakiwa na jambo lao ni ngumu mno!!
 
Mkuu samahani kidogo, unamaanisha mwanaume (yeyote) akitakwa na mwanamke (yeyote) ni ngumu kuchomoa? Kama ni hivyo hapana mkuu.
Ingekuwa hivi, mwanaume yeyote akitakwa na mwanamke yeyote mrembo ni ngumu kuchomoa. Hapo sawa.
Zingatia neno pisi Kali katika andiko langu hapo juu 🙏🙏
 
Hapo mwisho nadhani tunakubaliana, Ahsante kwa mbinu za kivita kujiweka mbali sehemu ambayo huna interest!
 
Mkuu samahani kidogo, unamaanisha mwanaume (yeyote) akitakwa na mwanamke (yeyote) ni ngumu kuchomoa? Kama ni hivyo hapana mkuu.
Ingekuwa hivi, mwanaume yeyote akitakwa na mwanamke yeyote mrembo ni ngumu kuchomoa. Hapo sawa.
Kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…