Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,672
- 4,560
Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi?
Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo akutake na akuwekee mtego Matata unachomokaje?
Ladies labda mtuuzie mbinu za kivita, Kama kuhonga tunajua hamuwezi, ni kwanini wanaume wengi hawatoki kwenye mtego?
Kuna watu watakuja kusema wana msimamo nami nitawaambia aidha Siyo pisi Kali au hajakutaka. Akikutaka huchomoki nakwambia.
Uzi tayari