Alafu ukimaliza kunyolewa una kung'utwa kichwani ni kipisi cha taulo kuu kuu utafikiri ni kiatu cha safari ya mbali na vumbiMkuu saloon iko maeneo gan maana huku kwetu saloon buku tu unanyoa, Hakuna mdada wala mdogo wake wote wanaume unanyoa utaenda kuoga kwenu
Kuoshwa tu unabaa hivyo?.... Ww ni msukuma
Ha ha hiyo ni lazima labda anaeku masave awr robotChini kulidinda mzee [emoji16]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Unaonekana mchanga hii sekta...tafuta demu au oa....Tatizo sio kuoshwa kichwa bali Kugusishwa kichwa kwenye Nyonyo zake na anakuweka kati kabisa [emoji25][emoji97][emoji97]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Yes ni Risk lakini wale wadudu wakikaa kwenye hewa ndani ya dakika 5 wanakuwa inactive ukitaka kutumia hizo mashine inabidi kinyozi asafishe kwa sterilization au kwa kutumia Spirit.UKIMWI hata kunyoa barbershop tu ni risk.
Hivi kupata zile mashine za kunyoa mtu anyoe nyumbani ni issue?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari risk. Mengine detail.Yes ni Risk lakini wale wadudu wakikaa kwenye hewa ndani ya dakika 5 wanakuwa inactive ukitaka kutumia hizo mashine inabidi kinyozi asafishe kwa sterilization au kwa kutumia Spirit.
Wale hawaambuzi HIV
Una kuta Kitaulo chenyewe kimefuta vichwa vya siku nzima.Alafu ukimaliza kunyolewa una kung'utwa kichwani ni kipisi cha taulo kuu kuu utafikiri ni kiatu cha safari ya mbali na vumbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale hawaambuzi HIV
Wako kibiashara zaidi
Daaah hata mimi ishu ya taulo ilinijia pale wakati ananivuta kidogo nishituke nimwambiea aache kunivuta sema nyonyo zile zilivyoniweka katikati daah [emoji25][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukakosa ujasiri wa kuongea?Daaah hata mimi ishu ya taulo ilinijia pale wakati ananivuta kidogo nishituke nimwambiea aache kunivuta sema nyonyo zile zilivyoniweka katikati daah [emoji25][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy dude [emoji67][emoji538]
Nipe link nikanyoe kabla ya Xmas nijue kama wananyoa vizuri.
Juba Sudan kusini mkuu lakini nategemea kuwa Dar wiki ijayo na ningependa kunyolewa kama wanajua kunyoa vizuri.Upo wapi boss ??
Happy dude [emoji67][emoji538]