Mitego ya dunia hii siiwez!!

pole sana rafiki sala ndo njia pekee.ila tafuta mingine fasta.
 
khaa! leo umekuwa mkali namna hii ama kweli klein ana mama.
mwali klein hata mkuta nakuapia.nitamwondosha kabla hajafunga shule

usimlinde sana bana huyo handsome mwache aji-controll mwenyewe afu uangalie mienende yake akikosea ndo umshauri lazivyo akija kuwa mkubwa ataangukia pabaya
 
LIMITATIONS HAZIWEZI KUBADILI TABIA YA MTU HATA SIKU MOJA MI NAKUSHAURI MTEME HUYO BINTI,KAMA SHOCTI WAKO PIA KAMTEMA KWA AJILI HIYO KWA NINI WEWE UKAE NAE?wahenga walisema mwenzio akinyolewa we zako......mi naona bora umuondoshe kabla mambo hayajaharibika.
 
nimepata hasira sana jinsi dadangu unafunga ibilisi ndani.ningekuwa najua kwako ningekuja na polisi kuchukua ilo jambazi
 
yaani sijui kamlonga ndugu yangu,nina hasira hapa nilipo????????? kitu atamfanyia hatoamini.mume wake akija anahamia nae mtaa wa pili kumpangishia,tena mtu mzima huyo anaweza kukuua a abaki hapo kwako shtuka mamito g
 
Daaah mama klein na kushauri huyo msichana umrudishe tu kwa huyo rafiki yako sidhani kama utamuweza!

Na umeonesha kupoteza imani naye!

Kwa usalama wa klein pia nakuomba umuweke mbali na mfanyakazi wa namna hiyo maana kwa watoto wa kiume hapo lazima wafanyie mazoezi!
 
yaani sijui kamlonga ndugu yangu,nina hasira hapa nilipo????????? kitu atamfanyia hatoamini.mume wake akija anahamia nae mtaa wa pili kumpangishia,tena mtu mzima huyo anaweza kukuua a abaki hapo kwako shtuka mamito g
Yaani we acha tu ndugu yangu inakeraje???????
 
Huyu dada alikuwa anatafuta mume humu kama sikosei.......
 
Smile hofu yako imeegemea wapi hasa hasa?

nimepata hasira sana jinsi dadangu unafunga ibilisi ndani.ningekuwa najua kwako ningekuja na polisi kuchukua ilo jambazi
 
Last edited by a moderator:
Code:
binti anasema alikaa chumba cha peke yake pamoja na mdada mwingine ila walikaa siku 3 kabla ya kuanza safari ya kuja dar. siku zote walizokaa pale hata kula alikuwa anaambiwa akale meza moja na baba ila alijiogopea hivyo akawa anawaomba wamletee chakula chumbani( haya ni maneno ya binti)[/COLOR]
Kama haya maneno yake ni ya ukweli, then binti ana msimamo mzuri, hatoweza kukupindua, endelea kumpa somo zuri na atakuwa mfanyakazi mzuri na mtiifu.

Code:
[COLOR=#333333]""" nimepigiwa simu sasa hivi shagazi yangu kapata ajali alikuwa anakuja dar sasa ninataka niende nyumbani!!""[/COLOR]
Hii inaweza isiwe sababu ya yeye kulia, inabidi uendelee kuchunguza. Nakumbuka kuna HG wetu alitumiwa watu(ndugu wa mbali mmoja, na watu baki wanne) kuja home wakamletea habari za msiba wa uongo, dada wa watu alilia hakuna mfano, wakamchukua wakasafiri nae mpaka mkoani kwao, walipokuwa wanakaribia kwao wakamwambia hakuna msiba kuna mume wamemtafutia ili aolewe, walihisi angekataa kuolewa ndio maana walimdanganya. Dada wa watu akatupigia simu akatueleza yote yaliyomkuta na hakupenda trick waliotumia kumtoa kazini, lakini aliona acha akubali kuolewa ajaribu maisha.
 
gfsonwin yaani Hii story ni balaa... Nkiki roo nkwee! Wana watiri shituko...mweee!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kosa la mume aliemshawishi ashukie Dodoma na kukaa nae siku3...kama alimshawishi na kulala nae chumba kimoja,hapo ndipo pabaya sana!kosa ni la nani?angeweza kumkatalia boss wake tena ugenini!na mazingira ya hotelini?kama anapata kinywaji ndio basi tena!hata iweje wababa wana makosa sana kwa HG!atulie nae ampe do and don't zake akiwa anamchunguza!
 
usimlinde sana bana huyo handsome mwache aji-controll mwenyewe afu uangalie mienende yake akikosea ndo umshauri lazivyo akija kuwa mkubwa ataangukia pabaya

mkuuu nilichojifunza ni kwamba wazazi ama mzazi yte yule huona mwanae bado mdogo period. hupendelea kuhakikisha haa anapocheza ama anapokuwa pana usalama as ni infant. sijui ni kwann ila Mungu anitangulie tu
 
gfsonwin, huyo house boy naye mtimue maana naona ni kijogoo cha mbegu hapo kwako! huna binti yako mkubwa mkubwa hivi, maana nachelea aije akambimimba!

mm sina binti ila sasa mara nyingine huwa nasema kwa wakaka na wadada wakubwa ambao sio ndugu si mbaya kama wakioana ishu ni kwamba wanaoana ktk mazingira gani??

waliotangulia waliniambia kwamba wanamahusiano na mm kama mama yao nikawasmamia had wakaoana officially kanisani waaenda kuanzamaisha pengine kwani kwangu nisingeweza kuwaweka nafasi ni finyu.

huyu nae kammimba binti mwenye watoto 3 sasa kama wataoana waendelee ila kwangu itabidi waondoke waje kama vibarua tu
 

sawa mamii nimekuskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…