Mitego ya dunia hii siiwez!!

Mitego ya dunia hii siiwez!!

Pole sana gfsonwin!!
Hata hvyo I have seen something valuable within yourself!!
Ila jiandae jinsi ya kutuandikia part III hapa labda kama dunia itaacha kuzunguka, naweka dau!!
Tuvute subira!!
Pole!!
mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.
what is that valuable thing within me??
 
mwali naona taa ya njao kwangu.
bado hujaiona!ungekuwa umeiona tayari ungeshasema!
mwali mi nampenda klein ujue oh!
hebu nifanyie la muhimu basi!please!please!swali langu hutaki kujibu UNA KADI YA KILINIKI YA HUYO DADA?
 
Kabla hajakuletea nitaomba nimuone

gfsonwin the story is too long, ntamalizia laterz. lakini nimeona part II una mashaka na HG aliyeumbika, naomba umlete kwangu ili kulinda wanao halafu ntakutafutia mwingine ambaye ni "average looks na salama"
 
mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.
what is that valuable thing within me??

UNA HURUMA SANAAA!kuna wakati mwanadamu anapaswa kuwa mbinafsi bana!
we unajua hata tukizaliwa mikono inakuwa imefumbatwa!maana yake :VYANGU!MIMI KWANZA!
katika hili niache tu niwe mkali!please please!nishakwambia mabwe mbali!af sa hiz barabara haijatengenezwa vizuri shauri yako!
 
neggirl huwez kuamini wakaka wang wa shambani huwa wanaoana na wadada wangu wa ndani. anyway labda nitefute makazi mapya ambayo hayatanilazimu kukaa na mdada na mkaka ila hapa ninapoish kwa sasa ni lazima.

nashukuru kwa tahadhari

nilichomaanisha hizo kazi wanazofanya wakaka.. wadada hawawezi kufanya?????

nachoamini wadada kutoka vijijini wanaweza kufanya kazi za kila aina. yani uwe na wadada tuu....
 
pole kwa kuanza mwaka na misukosuko ya hapa na pale cha msingi ni bora utafute mdada mwingine
 
Dadaangu gfsonwin umepatikana lolz
Ila nashangaa watu wanawalaumu hao mashamba boy wako kuwalamba mabeki3 wako...
Hivi shamba boy asipompata beki tatu atampata nani?...sijaona tatizo sana la kimsingi hapa.
Wewe wakiondoka endelea kutafuta wengine ..mwishowe wanao watakuwa wakubwa na hutakuwa na haja nao tena.
Kuhusu beki3 kuwa mrembo..lolz..kikubwa bana huwezi kuusemea moyo wa mwenzio...fanya yaliyoko ndani ya uwezo wako na mengine yaache kama yalivyo...just play your part the rest will solve for themselves...........
 
Last edited by a moderator:
mmmh! sasa wewe mbona unanitisha?? anyways nitamtoa b4 she does any harm.
what is that valuable thing within me??

Avatar yako!!
(nakutania)

Jinsi ulivyohandle hizo situations du!!!! nimekukubali!!!! Bravo sana!!
Najua wanaume na wanawake wamekutamani sana hio spirit yako!!

Hv hauna hata kabinti kamoja kakuzaa mwenye spirit kama yako ili nianze kupiga ndogondogo, ila da naogopa sina kazi ya maana hapa mjini!!
 
bado hujaiona!ungekuwa umeiona tayari ungeshasema!
mwali mi nampenda klein ujue oh!
hebu nifanyie la muhimu basi!please!please!swali langu hutaki kujibu UNA KADI YA KILINIKI YA HUYO DADA?

mwali sina ila ni 21 yrs. namtoa fasta mwali nisije lia hapa klein wangu katendwa bureee akina SnowBall wakanishangaa
 
Last edited by a moderator:
mwali sina ila ni 21 yrs. namtoa fasta mwali nisije lia hapa klein wangu katendwa bureee akina SnowBall wakanishangaa

enh basi kama huna kadi lake ondoa hapo nyumbani!kama vipi nipitie kabla sijaendelea na safari nishuke hapo njiani!
ah!we unaona kanga fupi unafkir mwanangu anaona nini!
bora SnowBall akushangae mi utakuwa halali yangu i see!
 
Last edited by a moderator:
Avatar yako!!
(nakutania)

Jinsi ulivyohandle hizo situations du!!!! nimekukubali!!!! Bravo sana!!
Najua wanaume na wanawake wamekutamani sana hio spirit yako!!

Hv hauna hata kabinti kamoja kakuzaa mwenye spirit kama yako ili nianze kupiga ndogondogo, ila da naogopa sina kazi ya maana hapa mjini!!

hahahah! mm ni mama vibaba ujue.
 
UNA HURUMA SANAAA!kuna wakati mwanadamu anapaswa kuwa mbinafsi bana!
we unajua hata tukizaliwa mikono inakuwa imefumbatwa!maana yake :VYANGU!MIMI KWANZA!
katika hili niache tu niwe mkali!please please!nishakwambia mabwe mbali!af sa hiz barabara haijatengenezwa vizuri shauri yako!

Tehetehetehe..................nyie viumbe watu bhana!!!!
(nimependa kwenye mikono wakati tunazaliwa)
 
Shoga gfsonwin,
Niletee mimi huyo mdada wa mwisho.
Mimi sina Mwanaume ndani ya nyumba yangu zaidi ya wale wa pale Ofisini nyumbani,nadhani unafahamu.
 
Last edited by a moderator:
enh basi kama huna kadi lake ondoa hapo nyumbani!kama vipi nipitie kabla sijaendelea na safari nishuke hapo njiani!
ah!we unaona kanga fupi unafkir mwanangu anaona nini!
bora SnowBall akushangae mi utakuwa halali yangu i see!
khaa! leo umekuwa mkali namna hii ama kweli klein ana mama.
mwali klein hata mkuta nakuapia.nitamwondosha kabla hajafunga shule
 
::
Hongera kwa kuwa una BARAKA YA NDOA namaanisha kuna familia zinalea mabinti mpaka sura zinajitapanya,,miguu hadi inakataa vipodozi HAWAOLEWI
Ila wewe wengi wakifika kwako milango inafunguka.
=
 
Shoga gfsonwin,
Niletee mimi huyo mdada wa mwisho.
Mimi sina Mwanaume ndani ya nyumba yangu zaidi ya wale wa pale Ofisini nyumbani,nadhani unafahamu.

ye nafaham mamii. wewe si unapajua kwangu ishu ni klein kwa sasa baba yake mpaka arudi hawataonana pengine
 
unajua sosoliso kuna siku nilikuwa naongea na mtu mzima sana akaniambia haya haya kwamba enzi za ujana alijifunzia ku du kwa wadada wa kazi wa home kwao. sasa ile impression bado ninayo kwamba hata wanangu kama ni wa kiume nitegemee haya""--""

Ha ha ha.. Haikwepeki hiyo gfsonwin.. Cha muhimu ni kuwapa darasa tu wanao kwamba if they can't abstain then they should use condoms.. Unajua wakati ule nafanya mambo hayo ukimwi ulikuwa haujasambaa.. Maana ciku hizi beki 3 ndo anachangia kuambukiza ukimwi ndani ya nyumba.. Imagine watoto wa kiume wale mzigo.. halafu kumbe baba nae anakula.. Ni hatari ila kuwa open kwa watoto wako.. Ukiwaambie wacifanye lazima watafanya..
 
::
Hongera kwa kuwa una BARAKA YA NDOA namaanisha kuna familia zinalea mabinti mpaka sura zinajitapanya,,miguu hadi inakataa vipodozi HAWAOLEWI
Ila wewe wengi wakifika kwako milango inafunguka.
=
hhahahah! jamani hii nayo ni sifa ama sijielewi ujue.
 
hahahah! mm ni mama vibaba ujue.

Hii roho mbaya sasa, kwann hata usimtegeshee ili wa kike apatikane japo aendeleze spirit yako!!
Boys hawatakuridhi sipirit yako sana, shauri yako mm nimekwambia usije sema sijakwambia gfsonwin!!
Ngoja niende nigeria kuleeeeee, lazima wa kike apatikane!!
 
Back
Top Bottom