Mitego ya dunia hii siiwez!!

Mitego ya dunia hii siiwez!!

Ha ha ha.. Haikwepeki hiyo gfsonwin.. Cha muhimu ni kuwapa darasa tu wanao kwamba if they can't abstain then they should use condoms.. Unajua wakati ule nafanya mambo hayo ukimwi ulikuwa haujasambaa.. Maana ciku hizi beki 3 ndo anachangia kuambukiza ukimwi ndani ya nyumba.. Imagine watoto wa kiume wale mzigo.. halafu kumbe baba nae anakula.. Ni hatari ila kuwa open kwa watoto wako.. Ukiwaambie wacifanye lazima watafanya..

mmmh! hapa napata ganzi uwiiiiiiiiii natamani Kongosho na Kaunga waje hapa
 
Last edited by a moderator:
::
Hongera kwa kuwa una BARAKA YA NDOA namaanisha kuna familia zinalea mabinti mpaka sura zinajitapanya,,miguu hadi inakataa vipodozi HAWAOLEWI
Ila wewe wengi wakifika kwako milango inafunguka.
=

Nilidhani mm peke yangu ndio nimegundua hilo, kumbe tupo wengi!!
Huyu nahisi ni mbarakiwa kiukweli, tena dunia ilivyokuwa kauzu sasa hv du bhalaa!!
 
hhahahah! jamani hii nayo ni sifa ama sijielewi ujue.

gfsonwin
Trust me! Kuna mabinti akikaa kwao hakuna anaemtaka Ila akienda kwa mtu mwingine,wanaume wanamfuata kama nzi
Ur of that blessing.
Congratulations
 
Last edited by a moderator:
Blaine mtoto hakui kwa mama sio?? na hope you know kwamba kila mama hupenda mwanae mabaya yamwepuke sio?? nitajilaumu sana kama kwa namna yyte ile nimegeuka direct or indirect mtego kwa mwanangu. namjua ni mzuri sana wa sura na hivi amebalehe basi wengi watamtamani.

kama mama yanipasa kumwombea na kusema nae ingawa i will be regretful kwa kumtega mwanangu.
trials and tribulations of growing up, don't be so pessimistic. mwanao sio the first handsome boy kukaa na housegirl.
 
Amesema hana wa kupinduliwa kwake labda wanae, je atapinduliwa kwenye nini?!
 
trials and tribulations of growing up, don't be so pessimistic. mwanao sio the first handsome boy kukaa na housegirl.

yeah! THAT ONE I KNOW ILA UTAKUJA KUWA MZAZI UTAFEEL NINACHOFEEL.
 
Kama kuna mdada ama mkaka ambae kuoa/kuolewa kwake imekaa kushoto, ama hata kupata ujauzito...........naomba muende kwa gfsonwin mkaombe kazi aidha ya uhausiboi au uhausigeli, nahisi kiimani zaidi mambo yako yatakuwa mazuri sana!!!!
 
khaa! leo umekuwa mkali namna hii ama kweli klein ana mama.
mwali klein hata mkuta nakuapia.nitamwondosha kabla hajafunga shule

naachaje kuumwa tumbo sasa!
lol!
sawa atakuja kuyafanya lakini sio kihv jamani tena kwa kitu tayar umeshapa some notch!
halafu kwanza huyo shoga huyo nae simwangalii kwa jicho zuri!
kwanini anakuletea mdada bila kukupa kisa na maana cha kumtoa kwake?
 
Hapa kwenye kuwa wazi kwa watoto pako kimtego

Maana hutakiwi kuwa wazi saana kiasi cha kuwashawishi kujaribu

hapo ndo ambapo hua pananipa mtihan.
sijui nitasemaje kwa utani gani anielewe
 
naachaje kuumwa tumbo sasa!
lol!
sawa atakuja kuyafanya lakini sio kihv jamani tena kwa kitu tayar umeshapa some notch!
halafu kwanza huyo shoga huyo nae simwangalii kwa jicho zuri!
kwanini anakuletea mdada bila kukupa kisa na maana cha kumtoa kwake?

mwali nimeumia sana na nataka nimuulize ila sasa sijui atachukia ama itakuwaje??
nimeamini urafiki wa mashaka
 
bonge la movie, onana na film makers utauza,

by z way ni nzuri maana inatoa fundisho
 
hapo ndo ambapo hua pananipa mtihan.
sijui nitasemaje kwa utani gani anielewe
then weka houseboy atakayefanya kazi za ndani kuondoa wasiwasi..... oh! wait bado utakuja na uzi mwingine kusema unahofu wataliwa 0712
 
Back
Top Bottom