Mitego ya dunia hii siiwez!!

Mitego ya dunia hii siiwez!!

Hahahahaaaaaaaaa! Mimi nilinyang'anya simu, haikusaidia, sasa hivi nawaangalia tu! sa ntafanya nini. Pole sana madam, ila tuongee ukweli jamani, mtu toka asubuhi hadi usiku hana lingine zaidi ya kufua, kuosha vyombo, deki nk......inachosha kwa kweli, mwishowe wanaishia kufanya vioja ili ku-release tension.

thanks ndyoko ila umepote best?? kama disco la shule lolest!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee mwl gfsonwin huu mtego i hope ulisha utegua!
Happy valentine.
 
Last edited by a moderator:
hapana atamla tu akitaka ila anayemtega ni hatari zaid.
hofu yangu kwa huyu ana mbinu za mitego za kufa mtu, manake anajijua kwamba ni mzuri sasa akikaa pozi zake, ndo kabisaaaa!

mmmmmh! wanawake wazuri wanakuwaga hatari........

EMT nimecheka pasi kutarajia aisee!!

ngoja ni justfy kwann shoga yangu anahitaj mabinti 2 ama 3. nyumban kwake kuna kazi nyingi sana, kwanza duka la vyakula ambalo liko ndani, kuku wa nyama mabanda kama 3 hivi, watoto wadogo 3 mkubwa ndo just 9 na mdogo just 3. nyumba ni kubwa sana wageni kwake ni kama stendi.

haya mtu kama huyu anafanya kazi kutoka kombora kurudi majira utegemee nin??

pamoja na hayo hapo kutakuwa na tatizo ,wasidizi watatu wa kazi za nyumbani?


EMT naomba niku pm tafadhali nikwambie part 3 ilivyokuwa

naomba unipm na mimi naweza kujifunza kitu dada yangu.

namshukuru sana Mungu kweli kwa msaada wa EMT na SnowBall na snowhite nimetegua.


heri yameisha kiusalama ,ila kiujumla malezi ya watoto ni kazi sana hasa miaka ya mwanzo ya kubalehe hasa hasa kwenye dunia ya sasa!!!!!!!!!!
 
kwa kweli faida ya house girl ni ndogo sana nje ya hasara kwa familia, napenda kukupa mfano mdogo tu niliouona kwa macho binti wakazi alikuwa anafanya vitu vya ajabu kwenye vyakula ndio anampa mtoto kile chakula yaani hata kueleza hapa siwezi. kwa kifupi nashauri si lazima sana kuwa na house girl especially walio olewa ni afadhari mtoto wa chini ya miaka 10 na si mtu mzima kama hao wanaokuja na watoto. Labda awe mcha Mungu lakini hawa wakuwaokota katika familia yetu tuna mabinti walirthishwa uchawi na house girl wanasumbua ukoo kama nini na ni mabinti wadogo tu hawajafikisha hata umri wamiaka 30 lakini ni noma
 
Back
Top Bottom