Mitego ya dunia hii siiwez!!

Mitego ya dunia hii siiwez!!

Hapo kosa la mume aliemshawishi ashukie Dodoma na kukaa nae siku3...kama alimshawishi na kulala nae chumba kimoja,hapo ndipo pabaya sana!kosa ni la nani?angeweza kumkatalia boss wake tena ugenini!na mazingira ya hotelini?kama anapata kinywaji ndio basi tena!hata iweje wababa wana makosa sana kwa HG!atulie nae ampe do and don't zake akiwa anamchunguza!

mmh! hapa pagumu sana.
 
yaani sijui kamlonga ndugu yangu,nina hasira hapa nilipo????????? kitu atamfanyia hatoamini.mume wake akija anahamia nae mtaa wa pili kumpangishia,tena mtu mzima huyo anaweza kukuua a abaki hapo kwako shtuka mamito g
Smile pole mdogo wangu usikasirike sana, nitamwondosha kabla hajanifayia timbwili mamii. nieuskia ushauri wenu wote.
 
Last edited by a moderator:
PART 11
baada ya binti kuondoka nikawa nawaza nampata wapi binti mwingine?? bahati nzuri nikapata sms tokana kwa shoga yangu kwamba anabinti msukuma amekaa nae miezi miwili ila anaoa mabinti watatu na anaona hawez kuwa nao wote.
hivyo kama kuna mtu anahitaji mmoja nimwambieee!!!!!!!!!!!!

Nimesona story yako yote, ila hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa kabisa.

Inakuwaje mtu anakuwa na house girls watatu?

Huwa wanakuwa wanafanya kazi gani wote hao?

Na wenye nyumba huwa wanafanya kazi gani wakiwa nyumbani?

Family home inakuwa kama ofisi vile? Surely, hapo inabidi familia ilipe corporation tax.

Imagine hapo nyumba inakuwa wanawake wanne na mwanaume mmoja.

Mwanaume akikatiza jikoni kuna mwanamke, sebuleni kuna mwanamke, kibarazani kuna mwanamke, na chumbani kuna mwanamke

Hivi hapo mke anakuwa anatarajia nini?
 
Hujambo gfsonwin?
Kwani hg akiwa sio mzuri unadhan klein hatakula kichwa?

hapana atamla tu akitaka ila anayemtega ni hatari zaid.
hofu yangu kwa huyu ana mbinu za mitego za kufa mtu, manake anajijua kwamba ni mzuri sasa akikaa pozi zake, ndo kabisaaaa!
 
Nimesona story yako yote, ila hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa kabisa.

Inakuwaje mtu anakuwa na house girls watatu?

Huwa wanakuwa wanafanya kazi gani wote hao?

Na wenye nyumba huwa wanafanya kazi gani wakiwa nyumbani?

Family home inakuwa kama ofisi ya vile? Surely, hapo hapo inabidi familia ilipe corporation tax sasa.

Imagine hapo nyumba inakuwa wanawake wanne na mwanaume mmoja.

Mwanaume akikatiza jikoni kuna mwanamke, sebuleni kuna mwanamke, kibarazani kuna mwanamke, na chumbani kuna mwanamke

Hivi hapo mke anakuwa anatarajia nini?
EMT nimecheka pasi kutarajia aisee!!

ngoja ni justfy kwann shoga yangu anahitaj mabinti 2 ama 3. nyumban kwake kuna kazi nyingi sana, kwanza duka la vyakula ambalo liko ndani, kuku wa nyama mabanda kama 3 hivi, watoto wadogo 3 mkubwa ndo just 9 na mdogo just 3. nyumba ni kubwa sana wageni kwake ni kama stendi.

haya mtu kama huyu anafanya kazi kutoka kombora kurudi majira utegemee nin??
 
Last edited by a moderator:
Jamani huo ni ubaguzi makazini !kwann mmbague mtoto kisa umbo lake?sheria inakataa na sio bizuri!avheni afanye kazi zake!poa tambueni na yeye ni binadamu mwili inahitaji service kama wengine pia ni haki yake ya msingi ya kufanya mapenzi!!!

Pia anaweza kuwa alikuwa anafanya hivo kutokana na mazingira aliokuwa anaishi!hovyo usimhukumu kwa historia ya nyuma each case is determined by its own facts!!
 
Hapo kwako napo kama meeting corner

Mimba place........hili unaliongleaje...it seems sio issue kwako!!!!!

Otherwise pole kwa yote
 
gfsonwin hapo siyo pa kucheka kabisa aisee. It is a concern hasa kwa watoto wadogo kama hao.

Kwanza, kigezo cha nyumba kuwa kubwa na kuwa na wageni kama stendi sidhani kama imekaa sawa.

A home should remain a home hasa pale panapokuwa na watoto wadogo kama hao.

Sisemi kuwa marufuku wageni kuja home lakini kama wanakuja kama stendi then hapo sidhani kama imekaa sawa.

Kuhusu kuwa na biashara mbili tena zote nyumbani na pia kufanya kazi away from home siku nzima tulishaliongelea kwenye thread nyingine, I think.

Lakini wanakuwa na muda ya kuspend na watoto kweli? Maada wakirudi kazini kuna kupiga stocks, kucheki mahesabu, weekend kujazia stock, nk.

Ila mwanaume anayeishi kwenye hiyo nuymba sidhani kama atamind sana. Women everywhere.
 
asaante kwa kuwa wewe umenitoa hofu ya past experience
 
Hapo kwako napo kama meeting corner

Mimba place........hili unaliongleaje...it seems sio issue kwako!!!!!

Otherwise pole kwa yote

anyway nafkiri kwa kila semeh ambao kuna wadada na wakaka haya tuyategemee especially kama sio ndugu.
nimeona tatizo nalo ni kuwa na miradi inayohitaj uchanganya jinsia nyumban. better kazi za shamba zikabaki kuwa mbali na nyumban kama uwezo upo istoshe ni afadhali kutafuta mdada wa shamba ila kwa maisha ya mjini ni tabu sana kumpata wa aina hiyo.
 
gfsonwin hapo siyo pa kucheka kabisa aisee. It is a concern hasa kwa watoto wadogo kama hao.

Kwanza, kigezo cha nyumba kuwa kubwa na kuwa na wageni kama stendi sidhani kama imekaa sawa.

A home should remain a home hasa pale panapokuwa na watoto wadogo kama hao.

Sisemi kuwa marufuku wageni kuja home lakini kama wanakuja kama stendi then hapo sidhani kama imekaa sawa.

Kuhusu kuwa na biashara mbili tena zote nyumbani na pia kufanya kazi away from home siku nzima tulishaliongelea kwenye thread nyingine, I think.

Lakini wanakuwa na muda ya kuspend na watoto kweli? Maada wakirudi kazini kuna kupiga stocks, kucheki mahesabu, weekend kujazia stock, nk.

Ila mwanaume anayeishi kwenye hiyo nuymba sidhani kama atamind sana. Women everywhere.

anyways EMT kuna familia nyingine jamani watu ni kuingia na kutoka. yaani wagen toka kijijini wakija wanajaa humo ndani kila siku.

ofcourse kwangu mm menu sio ishu ila tu ile disturbance manake kila siku hakuna siku watoto wanalala kwa raha manake lazma wabanwe vitandani, kwenye viti hawana uhuru wa kucheza etc.

but hivi kwa maisha ya kiafrika mzazi aliyeangukia kwenye fanilia kama hiyo afanyeje??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT

Hayo yanatokea sana, na kwa mazingira yetu huwezi kuwafukuza, ila sasa siyo uwatafutie na hg........ Wakifika nao unawakabidhi kazi, si wote ni ndugu?
 
yaani sasa unakuta kila anyekuja kwa kuwa ni ndugu wa mume ukimtuma kazi hafanyi ama anasema kabaisaa kazi fulan siwez ama nimechoka sijui wewe kama mama utafanyaje. so far ukimshirikisha baba anakwambia kwan anakaa hapa milele?? ndoa jamani hizi acha tu kila mtu ana mapito yake.
 
Ndo maana kazi ya kutafuta wadada wa kazi huwa ni za wamama
FP mm sipingi baba kumtafuta mdada wa kazi ila sasa mm nishirikishwe hadi siku ya yeye kufika na sio umtafute huko umlete kwangu uje uniambulishe eti mama Klein huyu hapa anaitwa Fulan ndo atakuwa binti wetu wa kazi.
 
Last edited by a moderator:
anyways EMT kuna familia nyingine jamani watu ni kuingia na kutoka. yaani wagen toka kijijini wakija wanajaa humo ndani kila siku.

ofcourse kwangu mm menu sio ishu ila tu ile disturbance manake kila siku hakuna siku watoto wanalala kwa raha manake lazma wabanwe vitandani, kwenye viti hawana uhuru wa kucheza etc.

Imagine hapo unakuwa na wageni kutoka kijijini wanajaa humo ndani halafu bado unakuwa na house girls watatu.

Wageni wanakaa tuu hata sahani hawaoshi? Labda wawe ni wazee lakini still wanaweza kubaby sit bana wakati ukiwa kwenye mihangaiko.

but hivi kwa maisha ya kiafrika mzazi aliyeangukia kwenye fanilia kama hiyo afanyeje??

Of course tuna extended family na vitu kama hivyo, lakini wanapokuwa kama Chande inakuwa haifai.
 
Imagine hapo unakuwa na wageni kutoka kijijini wanajaa humo ndani halafu bado unakuwa na house girls watatu.

Wageni wanakaa tuu hata sahani hawaoshi? Labda wawe ni wazee lakini still wanaweza kubaby sit bana wakati ukiwa kwenye mihangaiko.

Of course tuna extended family na vitu kama hivyo, lakini wanapokuwa kama Chande inakuwa haifai.
EMT hapa hata kama ni vijana bado huwa wanakuwa mzigo sana. manake kwa macho yangu niliwah kusuhudia ndugu wa mume kwa huyu shoga yangu wakigoma hata kudeki nyumba wanadai wamechoka so wanalala na kusubiri muda wa menu waje mezani. alikuwa amejifungua nililazimika kumsaidia mm kazi siku hiyo.

tena acha kabisa ilifika wakati akawa anahire deiwaka wa kumdekia na kufagia uwanja na kufua ilihali ndani kuna watu 9 wagen wakiume kwa wakike.

kimsingi ishu ya huyu dada huwa naona mume ndo chanzo manake angemsapoti wife ndugu kidogo wangekuwa na discipline
 
Last edited by a moderator:
yaani sasa unakuta kila anyekuja kwa kuwa ni ndugu wa mume ukimtuma kazi hafanyi ama anasema kabaisaa kazi fulan siwez ama nimechoka sijui wewe kama mama utafanyaje. so far ukimshirikisha baba anakwambia kwan anakaa hapa milele?? ndoa jamani hizi acha tu kila mtu ana mapito yake.

Kama una ma house girl watatu halafu unajifanya kuishi maisha ya juu unafikiri ndugu atakubali kuingia kwenye banda la kuku kuokota mayai au hata kumwagilia maji michongoma?

Nakumbuka nikiwa mdogo walikuwa wakija wageni kulala asubuhi baada ya chai mama huyo anaingia zake shambani.

Majembe yalikuwepo ya kutosha hakuna kisingizio hata kama umetokea town.

Huku sie tunapangiwa kazi weee mpaka mtu unaanza kufikiri hivi hawa wageni wataondoka lini tupumue?

Kumbe hapo wageni walikuwa wanaonyeshwa kuwa hii nyumba kazi ndiyo mpango mzima bila kujali mkubwa, mdogo au mgeni.

Wageni walikuwa wanatumiwa ipasavyo mpaka kwenda kuteka maji, kukata majani ya ng'ombe na kuokota kuni ati.
 
EMT hapa hata kama ni vijana bado huwa wanakuwa mzigo sana. manake kwa macho yangu niliwah kusuhudia ndugu wa mume kwa huyu shoga yangu wakigoma hata kudeki nyumba wanadai wamechoka so wanalala na kusubiri muda wa menu waje mezani. alikuwa amejifungua nililazimika kumsaidia mm kazi siku hiyo.

tena acha kabisa ilifika wakati akawa anahire deiwaka wa kumdekia na kufagia uwanja na kufua ilihali ndani kuna watu 9 wagen wakiume kwa wakike.

kimsingi ishu ya huyu dada huwa naona mume ndo chanzo manake angemsapoti wife ndugu kidogo wangekuwa na discipline

Wageni tisa ndani ya nyumba na hakuna anayepiga deki nyumba au kufagia uwanja? That's too much aisee.

Huko ni kuwadekeza. Inaonekena hili tatizo la serikali la kuwafagilia wageni zaidi kuliko wenyeji kiini chake ni kwenye familia.
 
Back
Top Bottom