Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

kwani mtu si anaweza kuwa na lini mbili mkuu royna
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja,ila italeta balaa sana,lakini kunguru hafugiki hata ufanye nin,nao pia watatafuta technoljia ya kujinasua,simu tu wala haitasaidia coz hutakuwa na mwenz wako saa zote anavyoenda kny shughul zake.
 
Kijani11 unashaurije sasa?

Mi sioni kama hiyo itasaidia maana kama ambavyo nishasema watu wa kuchepuka watatumia laini zaidi ya moja. Mtu anaweza akawa na simu mbili moja ya michepuko anatumia ofisini na kuiacha huko huko.

Pili sidhani kila simu unayopigiwa au sms unayotuma/kutumiwa mke/mume wako inampasa kujua maana mfano mambo ya ofisini kwangu familia yangu hayawahusu.
 
Inamana ukiwa na line moja huwezi kuwa na account nyingine ya siri?
 
Watu wa michepuko hapa lazima wapinge!! he he !

Hata wafanyaje, kutongozana kuko palepale. Kuna wozap, mesenja, PM nk nk nk.

BTW umehama kitaa au ujirani ndo umeingia sumu?
 
Ni wazo zuri kibiashara na kama likihamasishwa juu ya umuhimu wake, lakini ukweli kabisa lina changamoto nyingi pia, maana hata nje tu ya michepuko hizi wrong number tu sometimes huwa zinakosa maelezo sahihi.

Any way ngoja walete hilo wazo hadharani kwanza huku wakiweka merits na demerits zake bayana ili wateja tupate kuamua bayana.
 
Naunga mkono..mi line karibu ivunje ndoa angu kisa mkewangu alinipigia cm ikaingia kw mtu mwngne kabisa tna demu.noma
 
Hivi mtu mzima akipanga kufanya lake anazuilika kweli?
Sijipi pressure mie!!!
 
Hivi mtu mzima akipanga kufanya lake anazuilika kweli?
Sijipi pressure mie!!!

lakini ennie, kwa upande mwingine hii ina faida!

but nyie wanawake hamchoki kuficha simu kwenye ndoo za unga! lol!
 
Hapo lazima wanaume wawe na line mbili huwezi ku share kila kitu na mwanamke hata Mungu hapendi!Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kama Mungu hapendi asingewaunganisha kwa ndoa takatifu na kuwa mwili mmoja...
 
Back
Top Bottom