Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

duh! cheki mafuska wanavyo pinga.Asa Wale Wenye Ndoa Za Mkeka.
 
Sasa hapo wanandoa watakuwa na line zingine za siri na simu itabaki ofisiniiii au duka la jirani na home!twarudi pale pale

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama Mungu hapendi asingewaunganisha kwa ndoa takatifu na kuwa mwili mmoja...

Mungu alituunganisha lini? Mi najua Mungu alitupa kazi ya kuzaa na kuijaza dunia... ntaijazaje na mke wangu anayetaka watoto watatu tu??
 
teh teh teh teh.... Thafi thanaaa,, ila nasikitika coz inaonyesha michepuko mingi san mpaka hapa.. Ila hiyo technologia itazuia watu kuwa na lain zaidi ya moja?
 
Mungu alituunganisha lini? Mi najua Mungu alitupa kazi ya kuzaa na kuijaza dunia... ntaijazaje na mke wangu anayetaka watoto watatu tu??
Ukisoma biblia kitabu cha mwanzo sura ya 2:24 inasema " kwahiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambata na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" hapo ndipo Mungu alipotuunganisha...Na kuhusu swala la mkeo kuzaa watoto watatu ni makubaliano yenu ukizingatia hatujaambiwa tuzae watoto wangapi ndo tujaze ulimwengu...
 
hiyo line hata nipewe bure na isiwe inawekewa pesa - sihitaji kabisa kwani ma x-gf huwa wananikumbuka na kunitumia sms / kupiga simu na tunazama kwenye maongezi ya enzi zile; sasa my wife akisikiliza hayo maongezi ni kumsababishia presha ya bure na kumuua kabla ya muda wake.
 
Tutor B, wanukumbuka au unawakumbuka? story zilizopita mnaanza za nini?si ungewaoa wao?
 
Ukisoma biblia kitabu cha mwanzo sura ya 2:24 inasema " kwahiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambata na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" hapo ndipo Mungu alipotuunganisha...Na kuhusu swala la mkeo kuzaa watoto watatu ni makubaliano yenu ukizingatia hatujaambiwa tuzae watoto wangapi ndo tujaze ulimwengu...

Kwahiyo nikimkanyaga baamedi akanizalia watoto, Mungu anakuwa katuunganisha, sio?
 
Najaribu kupima nani ataleta utata kwenye hili swala. Naona wanaume wengi watakuwa wabishi. Kwani hata hizo joint account za benki unazozisema ni chache sana wanandoa wanakuwa na common interest. Ndiyo maana ndoa nyingi zinavunjika tena mapema sana
 
lakini ennie, kwa upande mwingine hii ina faida!

but nyie wanawake hamchoki kuficha simu kwenye ndoo za unga! lol!

Kazi wanayo hao wanaoficha kwenye ndoo,mwenye nia yake hasa anaweza akuachie ushinde nayo na bado yake yakaenda!!!
 
Back
Top Bottom