Mjumbe mmoja amewaza kuishauri mitandao ya simu nchini kutengeneza line special kwa wanandoa kama ilivyo kwenye mpesa na joint account za mabank.
Line hizo ambazo zinaweza kuwa na namba hiyo hiyo au tofauti zinatengenezwa kwa jinsi ambayo mtu yeyote anayepiga simu kwa mwanandoa mmojawapo, inawafanya wote wawili waweze kuona simu inayoingia na kusikiliza mazungumzo yote(ukitaka siyo lazima), na itawezesha pia kuwafanya wanandoa hao waweze kuwa na uwezo wa kuona meseji zote zinazoingia na kutumwa japo jukumu la kuzijibu litabaki la mwanandoa mlengwa. Line hizo zitakuwa na faida zifuatazo:
1. Kuwaongezea wanandoa ukaribu
2. Kuwaongezea hofu ya mtu kuruhusu meseji na simu zisizo na uadilifu
3. Kuwa na amani kwa kujua hakuna simu isiyo na maadili inaingia kwa mwenza wako
Na inaaminika kuwa mtandao utakaokubali kufanya hivyo utaongeza idadi ya wateja kwa wingi kwani wanandoa wengi watapenda kujiunga na line hizo.