Well saidSi sahihi hasa linapokuja hili la kulinda siri za wateja
nafikiri neno "ugaidi" ndio limekua compromised.Kitu kingine cha kushangaza ni hili la mashahidi wa ugaidi kuwa wazi na kujulikana na kila mtu. Kwa kanuni za kesi za kigaidi mashahidi hufichwa na ni ngumu mno kujulikana wazi wazi.
Hujui wewe rudi uangalie magaidi ni watu wa namna gani? angalia case nyingi zinazoendeshwa katika nchi zilizoathirika na ugaidi hii sio kesi ya mtu na jiraniKila kitu kiwe wazi haina haja ya kuficha mashaidi,kwa tz kuficha mashaidi itaongeza maswali mengi
Ingekuwa ni kesi ya ugaidi kweli haya yasingetokea..Kumbuka hii sio kesi pekee ya ugaidi zipo nyingi tuu.. Umeshawahi kuona hata watuhumiwa wakipelekwa mahakamani? Ni full squad.. Na kesi inasomwa kabla ya saa mbili asubuhi na ulinzi kiwango wa 5GLengo la kusajili namba zetu za simu kwa kutumia kitambukisho cha Taifa ni kudhibiti vitendo vya kihalifu.
hii ni kwa mitando yote, linapo kuja suala suala la usalama na Amani ya nchi ni jukumu la kila raia mwema kutoa taarifa.
Usisahau pia TCRA wapo wanatupia jicho lao kwa lengo hilo hilo.
lengo tutumie mawasiliano kwa nia njema.
kinyume chake haupo salama.
Kimsingi kesi yoyote ile lazima iendeshwa kwa uwazi bila kificho isipokuwa kwa kesi za mauaji ya kimbali ndipo mashahidi wake wanaweza kufichwa wasitambulike.
Kwa kesi ya Mbowe sioni kama kuna ulazima wa kuwaficha mashahidi isipokuwa kwa wale ambao inabidi kufanya hivyo.
kama hakuna ulazima ni takwa la kisheria kesi ikaendeshwa kwa uwazi isipo kuwa inapo bidi.
Kesi hii ya Mbowe inaendeshwa kwa uhuru na uwazi wa kiwango cha juu ndio maana hata wafuasi wake wanashangaa sana, lkn lengo ni haki ionekane kweli imetendeka.
Kuwa muhalifu ni shutma tu mahakama ndio inaamua kama ni muhalifu ama laah?Kazi ya kampuni za simu sio kulinda Siri za wahalifu!!! Au magaidi.
Kama wewe ni mhalifu ujue kabisa huko salama kwenye mtandao wowote wa simu
😂😂. Kundi au mkutano wa manyoka tu..Ni wewe[emoji23] na kundi lako lote