jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,362
Tunapigwa hela ndefu, kwenye mabahatinasibu yao wanaweka mkwanja kibindoni, maMpesa wanatuchuna, voice connection tunapigwa, data conection kupitia mkongo tulioukopa na tunadaiwa kama taifa wanatuibia.
Tumtafute wa kumlilia,
Sijui tumwambie lowahasa, lakini naona kama ana hisa huko kwenye makampuni ya simu, sijui tumwambie januari makamba, duh, hilo jina la ubini wake ndio atatumia kutufunga mwili mzima,
Tumshirikishe Lema. Maandamano nchi nzima kupinga kuibiwa.