Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mkuu hamia zantel, sijui kwa nini wa tz wengi wana mashaka na mtandao huu. Huu ndio mtandao bora ambao hauna mambo ya magumashi, dakika za kutosha, mb za kumwaga. The best thing ukiweka tu salio na easy pesa unakula mb za bure hata kabla hujajiunga na kifurushi chochote. Pia hauna longolong0 kila kitu kiko straightforward.

Mi mwenyewe zantel kwangu ndo mpango
 
mi mwenyewe zantel kwangu ndo mpango

mimi hujiungaga tsh 600 tu napata dakika 30, sms 500 na kali kuliko zote ni mb 200 ambazo hazijawahi kuniishia siku zote natumia hadi kifurushi kinaisha. Chengine kwa wateja wa zantel ambao wako tanzania bara wao ndio wanapata ofa zaidi kuliko wateja wa visiwani.
 
ina maana mheshimiwa hujui lolote au? wachukulien hatua wanatuumiz hawa
 
Yaani kila siku mitandao ya simu inabuni mbinu za kutuibia na kutuumiza watumiaji!
Walianza vodacom na tigo hadi sasa airtel nao wameiga sh 500 kwa MB 10 tu! Wamepishana 2MB za voda na tigo! Hii ni shidaaa!
 
Sio wamepunguza leo...sema umelijua hilo leo. Kama vp changamkia airtel yatosha vocha, mia 5 MB 125...
 
Sio wamepunguza leo...sema umelijua hilo leo. Kama vp changamkia airtel yatosha vocha, mia 5 MB 125...

Sio MB 125 zimepungua hadi kufikia 10 hebu angalia saivi hapo then lete feedback hapa.
 
Vifurushi vya siku airtel, we unatumia airtel ipi?
 

Attachments

  • 1424176941040.jpg
    1424176941040.jpg
    39.4 KB · Views: 313
kumbuka iyo n biashara,wanataka mnunue za vocha.easly.
 
Airtel wana vocha zinaitwa yatosha ambazo unapata MB 125 kwa sh 500,huelewi?
nahisi hizo vocha zikiisha kwenye soko wataleta ambazo zitapunguza pia....wanatubana sana hawa wapumbavu
 
Wizi wa mchana kweupe unaendelea katika mtandao wa vodacom na nashangaa hata wale tuliowapa dhamana kusimamia mashirika haya wako kimya.ukiweka pesa ili upate kifurushi cha internet,hakuna majibu yanayotolewa na voda kuhusu kupata au kukosa kifurushi ulichokitaka,mbaya zaidi hata pesa uliyoingiza haionekani popote na wala hairudishwi na ukijaribu kuunganisha na internet unaambiwa huna salio la kutosha,uongeze pesa.hii imeanza tangu juzi na jana na nimelizwa karibu shs 5000.yawezekana mimi tu ndio nimelizwa,lakini natoa tahadhali kwa wengine humu,yasiwakute yaliyonikuta.Kwaheri voda,Hodi Airtel au Tigo.:embarrassed::ban:
 
Wameona mijadala mingi ya kimapinduzi hufanyika mitandaoni wameamua kubana. Kwa sababu magazeti yote walishayateka hkn linaloweza kueleza ukweli wa amboni na mwelekeo wa uchaguzi kwa mtazamo hasi,

tukutane october, fanya uamuzi sahihi, kwenye sanduku!
 
Nilidhani kuwa kijana kama wewe unaweza kuwa chachu ya kuleta mabadiliko wizarani hasa kwa sisi vijana tunaoshinda mitandaoni na android zetu wenye uwezo wa kuafford mb 100-125 kwa sh 500, au hii ni kuelekea october? Kuminya uhuru wa kubadilishana mawazo?
 
Nunua bundle separately.., utajiachia vya kutosha tu.., nunua zantel 200mb kwa 500/-, piga *149*07#
 
vodacom ni wezi leo nimenunua muda wa maongezi kwa m pesa ambapo wanasema ukinunua kanzia 600 kwenda juu unapata nyongeza ya sh 150 mm nimenunua muda wa sh 1500 sijapata nyongeza yoyote huu ni udanganyifu na aibu kwa kampuni kubwa kama hii kuweka matangazo ya uongo
 
Naipongeza mitandao make vifurushi vilikuwa vinatumika kwa mambo ya kishenzi kabisa,sahiv imesaidia kuweka nidhamu ya matumizi ya vifurushi,samAhani kutofauriana na wengi huo in mtizamo wangu
 
mpea umeongea points nna miezi sita nimehamia airtel na sijutii yani wako vizuri mno
voda ni kwa m pesa tu na kwa kua airtel kwenye money transaction wanazingua ila natafuta simu niweke tigo niwahame voda
siwezi kuitupa maana ndo inatambulika ila VIFURUSHI VYA VODA NI MAJANGAA

kura ya maoni KATIBA HELA WATAPATA WAPI?
Uchagusi mkuu fesa itatoka wapi kama si kwa Rosotom azziza
 
Back
Top Bottom