Mitandao ya sim yote imekata ghafla kunani?

Tumesharudi hewani watanzania wenzetu. Samahanini kwa usumbufu wowote mlioupata. Tulikuwa tunarusha UNGO wa MKWERRE kwenda Bagamoyo.
 
samahanini sana ndugu wadanganyika, tulikuwa tunapiga kadili flani hapa kwenye hii benki yetu hii....sasa tumemaliza.
Tumieni internet kwa sasa, simu mpaka kesho,, kuna nut moja imepotea wakati tunafungua connection flani ya mawasiliano....
 
Back
Top Bottom