Mitandao ya kijamii na dada zetu


Sasa kama mtu humjui hata sura huifahamu...kwanini wakubali friend request? Uta-add hadi majini. Kuwa makini
 
Eti same day ukatoa no ya simu sasa wewe men na dem mnatofautigani
 
Afadhari umekuwa mkweli wanaume wengi wameliwa na wanaliwa sana pesa kwa style ya urafiki wa fb. 20, 30 alfu watu wametuma sana.
 
Angekuambia mkutane mkanywe na ''kucheza gwaride'' sijui nani angekuwa cheap? ngoma suluhu au droo.
 
Eti na wewe umeandika???? Hivi uslishawahi kusikia kuna ndege ya kigoma mwanza?
Mhhhh kalaghabaooooooooo kekundu keundu wajinga ndo waliwao.
 
Hata hapa JF wapo kibao huko PM...

Vinapiga piga tu wanaume mizinga kama vimalaya vile...
 
Why ufunge safari hadi fb wakat hata hapa wachunaji tupo

Wa apa c ndo wale kila mmoja anafanys bot wengne wako na bg investment....madai hamnaga njaa....tehe
 
Hata hapa JF wapo kibao huko PM...

Vinapiga piga tu wanaume mizinga kama vimalaya vile...

Tehe...kumbe ee..loooh awa jamaa mishipa ya aib ulishakatika....unawezaje kumuomba mtu naul humjui..tena ulimuomba urafk 1 day before...ni upuuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…