Mitandao ya kijamii na dada zetu

Mitandao ya kijamii na dada zetu

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Wadau niwasalimu kwa heshima zote,

Pia niitumie fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushauri murua kuhus namna nzuri ya kubana matumizi na kuepuka madeni,,kwa kweli mmenifaa..

Back to the topic..juzi wkend nkiwa nimejipumzisha kwangu naperuzi fb nikapata frend request ya mdada....nkamkubali,, baada ya mda akantuma msg kua nimtumie no zangu..na mimi sikua nimeona tabu nikampa nkajisemea may b she knew me!..
Kidogo nikabipiwa napiga anajitambulisha kwa jina lile nikasema ooh nambie vipi..

Akaanza ooh kaka angu mimi sikufahamu wala we hunijui ila nina shida la elfu 45 niko kigoma nataka nije na ndege ya jion my mam anaumwa yupo mwanza..heee nikasema makubwa!!...

nikajisemea dada ungejua metoka kupata shule ya ubahil aka kubana matumiz!...nikamwambia dada samahan sina!!!!!!!!....

Leo tena nikaombwa urafiki na mrembo nikamkubali...badae naingia nakuta msg kaka angu samahan naomba elfu 25 nihudhurie mazishi ya mama angu mm nipo ddma msiba upo Dar...
haaaaa!!!! helll noooo!!!!awa wamelogwa??nani kawaambia mimi mengiii!!!!

Sio kila thread inahitaj ushauri...
 
Umejitahidi kutunga hadithi yako ila ongeza bidii
 
spam spam spam spam spam hawana lolote na muwache kujifanya mpo safi sana sijui at selena mara at office mara at uwanja wa ndege mara at kfc posta ushuzi mtupu ndo una waaribia..
 
Dawa ya moto ni maji muambie na wew unashnd ya poch manyoya nipe nikupe
 
spam spam spam spam spam hawana lolote na muwache kujifanya mpo safi sana sijui at selena mara at office mara at uwanja wa ndege mara at kfc posta ushuzi mtupu ndo una waaribia..

Hahaahaha...wanabaki wanaomba msaada wa watu ata hawawafaha!....

Asa uyu anaeniambia ana msiba inamana hana ndugu?,hana rafk wa karib..aniokote mm fb nimsaidie...ni upuuuz...
 
Nawe upo cheap mnoooo khaaaaa
yani kimtu cha mtandaoni wala hukijui ushatoa namba
na hapo ni wa kiume ungekuwa mwanamke

Mi mtoto wa kiume..najiamin
Alivyoomba namba sikuona sababu ya kutozitoa ilhal sijui anataka nn....

Iv ule usemi wa kataa unachoambiwa sio wito bado upo ee!!!...naomba niutumie
 
Dawa ya moto ni maji muambie na wew unashnd ya poch manyoya nipe nikupe

Hahaha....nam nliliona ilo ingawa nkakumbuka garama kuipata poch tena!! Aaagrrrr
 
Nawe upo cheap mnoooo khaaaaa
yani kimtu cha mtandaoni wala hukijui ushatoa namba
na hapo ni wa kiume ungekuwa mwanamke

Mi mtoto wa kiume..najiamin
Alivyoomba namba sikuona sababu ya kutozitoa ilhal sijui anataka nn....

Iv ule usemi wa kataa unachoambiwa sio wito bado upo ee!!!...naomba niutumie

Cheap utetezi, wito kwani nasomea usista hapa
u a cheap acha wakuombe tu....
 
Hiyo michezo ipo facebook na Badoo. Mimi nilishaachana na hii mitandao muda mrefu sasa and I don't miss them at all.
 
Mi mtoto wa kiume..najiamin
Alivyoomba namba sikuona sababu ya kutozitoa ilhal sijui anataka nn....

Iv ule usemi wa kataa unachoambiwa sio wito bado upo ee!!!...naomba niutumie

Sasa mbona unalalamika, u r the man right? Handle it yourself like a man...... otherwise blah blah blah blah
 
Back
Top Bottom