mtundu27
Member
- Jul 17, 2018
- 78
- 123
Habarini wadau.
Hii nchi tunapoelekea nahisi tunazidi kulemazwa kwa kukaa nyumba ya keyboard na kutumia id fake.
Kwa yanayoendelea humu nchi katika uminywaji wa haki, hakika hamna mbadala zaidi ya kuingia ntaani na kudai katiba mpya bila kurudi nyuma.
Yaani kila uchaguzi ccm imekalia kuiba kura tu, na chama kikuu cha upinzani kupitia makene kutoa tamko, then tamko linakuwa circulated kwenye mitandao, watu wenye fake ID wanabwabwaja then story imeisha.
Mimi nadhani kuna haja hii mitandao izimwe ili watu wakose sehemu ya kutolea matamko na kupunguza jazba, wenda akili zitaingia kichwani.
Watz wamejaa woga utadhani vitoto vya primary vikimuona mwalimu na bakora wanavyotulia.
CCM wameonea wananchi vya kutosha, bila kutolewa madarakani, watabaki kuona wananchi mafala kama alivyosema mkapa, na tukaonekana mafala kweli kwa kukaa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app