Hakuna mtu anayezaliwa mwongo, fisadi, mpenda kushinda kwenye mitaandao au mvivu, isipokuwa mfumo ( jamii ) inayomzunguka ndiyo inayomjenga na mkuza katika tabia hizo.
Serikali na watu wenye mamlaka kwa siku za karibu wameonekana kulaumu au kulalamika kuwa watanzania wanaamini na kupenda udaku, umbea, wanashinda kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufanya kazi bila kujua wao ndiyo wasababishaji wakuu kwa kutoweka wazi, sema ukweli pale wanapotakiwa kufanya hivyo.
Mdhalani, toka kuzuiwa kwa bunge live, sasa habari za bunge live /mubashara zinapatikana kwenye mitaandao ya kijamii. Kwanini wananchi wasiingie kila wakati kwenye mitaandao ya kijamii kama huko ndiko wanakopata habari mubashara? Kwanini wananchi wasiamini mitandao ya kijamii kuliko kauli za mwenye mamlaka?
Mfano mwingine, umetokea utata wa vyeti fake kwa kiongozi mmoja, hakuna kiongozi yeyote mwenye mamlaka aliyeweka bayana au kutolea ufafanuzi, unategemea wananchi watapata wapi taarifa kamili kama sio kwenye mitandao? Ishitoshe kiongozi ambaye anajifanya kuwa hana mamlaka ya kulisemea au kulitolea ufafanuzi jambo hilo mara unamzikia kuwa atamkabidhi raisi taarifa ya muundo huo huo!!
Mfano mwingine, utata umeibuka wa gharama halisi za ujenzi wa hostel za UD, mamlaka haisemi ukweli. mamlaka haiwaondoi wananchi shauku ya kujua ukweli au wanaogopa kusema ukweli, kwanini wananchi wasiingie kwenye mitandao kupata ukweli?.Wakati utafika hata TV na radio wananchi hawataziamini kwa kuwa nazo hazisemi ukweli kwa sababu ya uwogo hivyo wananchi watapata ukweli kwenye mitandao ya kijamii ambako wahariri wa vyombo hivyo hivyo ndiko wanakosema ukweli kwa ID fake.
La mwisho lakini lenye uzito, hata wenye mamlaka wakitoa kauli au ufafanuzi kwenye media ambazo wanatakiwa watumie wanasema uwongo au kudanganya then viongozi hao hao baadaye wanaingia kwenye mitandao wanatoa taarifa za ukweli kwa habari ile ile kwa kutumia Id fake!!
Je, mmlaka na viongozi hawajengi Tanzania ya udauku?, Tanzania ya wapenda na washinda kwenye mitandaoo? Tanzania ya waamini mitandao kuliko media hata za kitaifa?